Graduate miaka 26 anaweza apply vikosi vya ulinzi?

Anthony Threedeyea

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
471
Reaction score
47
kuna binamu yangu ana maliza chuo mwaka kesho ana mapenzi na hizi kazi magereza,jwtz na polisi naomba kuuliza kama anaweza chukuliwa ingawa ameshindwa kutimiza kigezo cha umri kulingana na sheria zao wanataka mwisho miaka 25
 
28 -29 anaenda kutegemea na uhitaji wa fani yake jeshini.hata kama ana 40 kama daktari anachukuliwa
 
mh nao hao wanamasharti mengi hivi hawaoni hata mfumo wetu wa elimu ulivo na mzunguko namna hii
 
Kazi ya jeshi sio lelemama, inabidi awe mzalendo wa kweli tena awe na afya timamu, issue kwa graduate sio umri ila fani na afya muhimu sana.
 
umenifurahisha uliposema binam! kwel ni binam au ni wewe mwenyewe?
 
mkubwa msaada wako tafadhari baba yangu.

Sasa cha kufanya mwanangu, mwambie binam yako awe na subira mwakan: uwezekano kwa graduate upo 26-33.. ila kwa jins myaka inavoenda vgezo ubadilika kwa mfano mwaka huu police waliweka kikomo 25. magereza ad 33, kwa upande wa jwtz hao huwa aziko waz sana, wenyewe uchukua mojakwamoja jkt.... na pia inategemeana na course anayosomea binam.... kwa sasa kama magereza wako sana kwa upande wa sayans na busness, afu police Bale, laws etc, jwtz nao sayans sana arts inakua zar sana kwa sababu wapo pia askar weng wanajiendeleza masomo ya hgk, hkl and hgl......
 
Last edited by a moderator:

Mkuu.
Hebu nipe link ya ajira za Magereza,dogo ame graduate DIT na ana mzuka nako sana
 
magereza walishatangaza na kuchukua watu wao, maybe had mwakan endelea kufwatilia site yao, gazet la habar leo, na redio tanzania mwakan myez 8 na kuendelea. http://www.magereza.go.tz/ http://www.magereza.go.tz/
 
mkubwa muhusika mkuu ni mimi baba yangu nimemtumia binamu yangu kuniwakilisha watu humu ndani wanavunjana sana moyo,usipokuwa na msimamo unaweza kuacha hata kile moyo wako unachopenda asante sana maelezo haya yamenijenga na kunipa moyo...mlolongo wa elimu tanzania ni mlefu mno tunatumia muda mwingi elimu ya awali na upili umri unakua umeenda,ngoja nisubilie mpaka muda utakapofika kila kitu n moyo hatakama nitakosa nafasi hii ntaitumikia jamii yangu kama polisi jamii,inasikitisha sana katika jamii tunazotoka siku moja miaka mingi imepita bado nipo mdogo darasa la saba mjomba wangu alikatwa panga kiunoni kutokana na ugomvi wa mipaka mashambani wakati wa tukio tulikuwa wote mimi na yeye akaniambia nikatoe taharifa polisi huku akiugulia kwa maumivu damu nyingi zimemtoka nilijiuliza sana maswali polisi anapatika na wapi mpaka leo hii sikumbuki nn kiliendelea....
 
Earn you dream... usiwe mtu wa kukata moyo kwenye kutafta always ujasir unalipa kiaina! msamehe anayekosea we songa mbele! kumbuka watendakazi ni weng mashamba ni machache! kila lakher!!
 
Last edited by a moderator:
Anaweza kutegemea na vigezo watakavyoweka mwaka huo. Pamoja na umri, lazima pia akidhi masharti kibao. Mfano kama ni msichana asiwe ameolewa au aliwahi kupata mtoto
 
Mimi niliingia jkt mwezi wa tatu nikiwa na miaka 26 ila kwa sasa bado tuko kwenye vikosi za malezi, hope usikate tamaa utapata ukiwa na nia.
 
Uliingia vip mkuu wakati wanasemaga kujitolea mwisho ni 23years?
 
Back
Top Bottom