Huyu ndo amemaliza yote.. Hili ndio jibuKwa mujibu wa sheria za utumishi wa umma huruhusiwi.
Graduate kuomba nafasi ya mhitimu wa astashahada na stashahada.
Ila kama degree yako ilikuwa ya kuungaunga, yaani from certigicate to diploma and then degree unaweza kuomba kwa kuficha vyeti vya juu. Na baada ya miaka 3 unaweza kufanyiwa
recategorization na ukakaa mahali pa juu. Katika suala la kuficha sifa lianze kwenye barua ya kazi, nakala na C.V.
Ukijichanganya sehemu moja tu imekula kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app