Grading system ya TCU kwa waliosoma nje ya nchi

Grading system ya TCU kwa waliosoma nje ya nchi

JMF

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
1,782
Reaction score
2,844
Salaam wakuu,

Naombeni mwenye kujua formula inayotumiwa na TCU ya ku calculate GPA (kufanya equivalency) kwa mtu aliyesoma nje tafadhali. Mfano mtu aliyesoma nchi kama Brazil ambapo hawatumii mfumo wa GPA akirudi Tanzania huwa equivalency inafanywa kwa kutumia formula gani? Au aliyesoma nchi nyingine yoyote ambayo wanatumia GPA lakini highest ni 4.0 huwa wakirudi Tanzania vyeti vyao vinatafsiriwaje? Ahsanteni.
 
Ngoja waje ....maana hata Mimi nataka kujua kwani cheti changu ni class as first class,second class na pass class
 
Mkuu hio system sijui kama IPO coz kuna jamaa kitaa alienda Russia kusoma tourism amerud mpaka Leo wanamzungusha tu kubadilisha maana viwango vyao vipo chini kuliko vyetu
 
Back
Top Bottom