D inaanzia 50-59, E 41-49, hiyo D ni B mwaka jana na hiyo E ni C mwaka jana halafu mtu amesoma kombi complicated PCB, PCM au PGM at the end of the day hamna chuo tena taarifa inakuja baada ya matokeo kutoka. Kheri basi ingekuja bado watu mashuleni wajipange kikamilifu. Huu ubabe chini mwamvuli wa CCM ni noma.
Hivi TCU walikaa chini na kujadiliana vizuri au ni mtu mmoja amekurupuka huko? This is not fair, wengne tumesoma shule za taaabuuuuu.
suala la ongezeko la max pia lilitumika kwa waliomaliza o'level mwaka jana
mfano;
00-34=f
35-44=d
45-64=c
65-74=b
75-100=a
ndivyo viwango vilivyotumika so sishangai kwa ongezeko la advance
Sasa si umweleweshe Tu kwa data kumporomoshea matusi Kunakutofautisha nini na yeye asiye na data ?
Jaribu kuwa beyond ya thinking capacity ya wengine kumtukana Tu hakujitoshelezi kuonyesha unajua zaidi yake you must think different but don't hurt others .
Wanafunz siku hiz hamjitumi kusoma uswahili na ujuaji mwingii safi San ndalichako heshima ya elimu itaanA kuonekan man wenginw wanashinda kungonoka tu alafu wanakwenda chuo hawan uwezo kumudu masomo wanatafuta kiki kwa lectures kuachia parachute