ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 32,230
- 35,665
Africa Kusini Imetoa waranti ya Kukamatwa Kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kutokana na uhalifu wa kivita huko Gaza.
Aidha SA imewatimua Mabalozi wa Israel Kwa kile ilichoita apartheid Dhidi ya Wapalestina.
Ikumbukwe Africa Kusini Huwa haitanii maana Putin aliufyata kusafiri huko Kwa kuwa Kuna warranty ya Kukamatwa kwake iliyotolewa na Mahakama ya Haki za binadamu ya The Hague.
View: https://twitter.com/africaupdates/status/1726793525805924590?t=8J0fjsf9gsGPyiMuaRWGFA&s=19
My Take
Naunga mkono na nitoe wito Kwa Nchi zingine za Afrika na Dunia Kuiga mfano huu mzuri wa Afrika Kusini maana kuacha bila kuadhibiwa itaonekana kumbe kuua watu sio issue tena na kinachoitwa Haki za binadamu ni geresha.
View: https://twitter.com/The_EastAfrican/status/1727229051897516449?t=f26axuJCNIgenKv-aMydYQ&s=19