G 6 JF-Expert Member Joined Nov 7, 2016 Posts 506 Reaction score 235 Dec 5, 2016 #81 samsun said: Hapo kwenye maandishi makubwa ndio mantiki ya sentensi yake. Click to expand... Mapovu yamekutoka sababu katajwa mondi...
samsun said: Hapo kwenye maandishi makubwa ndio mantiki ya sentensi yake. Click to expand... Mapovu yamekutoka sababu katajwa mondi...
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 16,419 Reaction score 38,055 Dec 5, 2016 #82 elmagnifico said: Huyu dada anajua sana sana toka namsikia kwenye song lake liitwalo wimbo wangu, free soul, nyakati za mashaka nilikubari kwamba ni almasi mchangani sema tu hajashtukiwa. Click to expand... Ana wimbo unaitwa Uwe wangu..ni hatari tupu!! Kuna muda anasound kama Toni Braxtoni
elmagnifico said: Huyu dada anajua sana sana toka namsikia kwenye song lake liitwalo wimbo wangu, free soul, nyakati za mashaka nilikubari kwamba ni almasi mchangani sema tu hajashtukiwa. Click to expand... Ana wimbo unaitwa Uwe wangu..ni hatari tupu!! Kuna muda anasound kama Toni Braxtoni
samsun JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 7,386 Reaction score 5,968 Dec 6, 2016 #83 G 6 said: Mapovu yamekutoka sababu katajwa mondi... Click to expand... Umemaliza hoja,sasa umeona uongee mipasho.
G 6 said: Mapovu yamekutoka sababu katajwa mondi... Click to expand... Umemaliza hoja,sasa umeona uongee mipasho.