GPS Test App for Android user - very useful for engineers

bona

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2009
Posts
3,798
Reaction score
1,444
Nimekua nikiitumia hii app ya android for almost 2 week sasa na naweza kuitolea verdict yangu... ni very useful app kwa wale professionals wanaotumia GPS devices kwa ajili ya kuestablish locations na kuchukua coordinates.
Inachukua coordinates za Longitude na Latitude kwa accuracy ya 8 decimal places wakati most GPS devices inachukua coordinates kwa accuracy ya 5 decimal places only... na iko very accurate... kuna watu wengi wanasumbuka kununua devices za GPS kwa zaidi ya dola 800 wakati mda huo huo ana simu ya androi....kwa ajili ya zoezi la kupata coordinates ya places.. this is our very own jesus christ ktk hilo, save your money.
na pia haichukui mda ku acquire satelite... pili inatumia ile russian version ya GPS inayoitwa Glonass very fast kwa sababu haiko over crowded kama GPS ya kimarekani!!!
 
mkuu, ukijua tofauti ta GPS na A-GPS ndio utazifananisha hizi za kwenye simu na hizo ambazo zinauzwa ghali.
ni dharau kuifananisha GPS ya kwenye lets say Samsung phone with Android OS na ile ya Garmin GPS
 
Application based GPS huwezi kabisa linganisha na Hardware based one, jamaa ka mount satellite dish katika nyumba ya jamaa kumbe apps yake aliyoidownload kwenye simu imefreeze inamwonyesha satellite zipo upande huu kumbe zipo upande mwingine. Kitu ambacho hakitokei ukitumia jipiesi yenyewe.
 
mkuu, ukijua tofauti ta GPS na A-GPS ndio utazifananisha hizi za kwenye simu na hizo ambazo zinauzwa ghali.
ni dharau kuifananisha GPS ya kwenye lets say Samsung phone with Android OS na ile ya Garmin GPS

ndio mana nikakwambia binafsi ni ktk kazi zangu natumia hizo devices na hadi nimekwambia nimefanyia kazi mpaka nikashauri hapa sijakurupuka!!! kwa kifupi ninayo gps ya garmin kwa zaidi ya 2 yrs naitumia extensively ktk kazi zangu lakini nilipopata hii app nikaanza kucompare efficiency kwa mfano nikawa nachukua coordinates kwa kutumia hii app na gps device!!! so sijakurupuka kuongea tu ndio mana nikasema for professionals wanaotumia device ya gps wakiwa na hii app wataelewa ninachozungumzia binafsi nimefikia hatua sitembei tena na ilo gps device langu tena!!
 
kaka bona tunaeleweshana tu. sorry kama nikitumia kauli mbaya mwanzo.
ok. sasa ukiwa mahala pasipo na mtandao au pasipo na 3G/HSDPA hizo A-GPS za android zina fail kabisa. ila jibaba garmin anapika mzigo kama kawa. ila kwa surveyor wa mjini, deal sana hizo za Android maana upatikanaji wa net uhakika.
nadhani advantages za huyu GPS wa Android ni portable, easy to use, accuracy (pakiwa na strong net), na disadvantage kubwa ni kwamba inahitaji mobile.connctn ifnye kazi, au sio?
 
Last edited by a moderator:

Hata garmin inafail ktk poor satelite signals kama basement au underground
 
then tumia za nokia hazihitaji internet connection na ni more accuracy kuliko google maana wanakusanya wenyewe data hawaletewi
 
Last edited by a moderator:
wakuu seems most you have good knowledge ya GPS. Mi nina shida kuna kaeneo kangu nimenunua na ninazo coordinates zote (latitude and longitudes) kasheshe sijui namna ya kutafuta eneo kwa kutumia hizo coordinates. msaada please.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…