Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,542
we unataka ikwambie hapa manzese.kimara,tegeta. raman ya tz haitambuliki dunian
hakuna njia ya kuconect internet hata na wifi? ni kampuni gani hio yenye hizo ramani? pia ukileta jina la hio navigation system itakuwa rahisi zaidi.
hiyo kitu kwa bongo bado saana hayo ni mambo ya gps tz bado
Hio kitu wamei "load" ramani ya Japan tu ndo maana huwezi kuona ramani ingine. Na sina uhakika kama iko locked or not kiasi cha kuweza kuweka ramani ya Tz (labda kwa wanaojua watasema). Ofcourse gps ingesaidia kutoa location ya ulipo kutokana na ramani unayotumia (iliokuwa loaded).
Kama unahutaji sana kuwa na hio navigation system, una option kama mbili au zaidi:
1. Kuna navigatiob system za kampuni iitwayo Garmin hiz unaweza ukazinunua(device) dukani na uwaambie wakuwekee kabisa ramani ya Tz ili uweze kuitumia kabisa. Hii ina gharama ya kununua na ramani pia baada ya kujisajili online n.k
2)Tumia google map ya simu yako au tablet. Hii inatoa mpaka voice guidance baada ya ku set destination(uendako). Hii utagharamikia data au internet bundle, na ujue inakula battery charge kwa kasi fulani.
Natumai imesaidia kiasi. Kila la kheri!

Ahsanten wakuu nilikuwa sipo hewani, naona mlolongo mrefu bora nitumie hiyo ya simu, but hizo accesorry za gps hapa tz zapatikana wapi?
Kwenye simu inatoa shida huku waendesha gari huku wacheki ramani dah ila ahsante kwa fafanuzi ila tz tupo nyumasana ktk tracking services.
Chief hiyo ya app ya simu inaitwaje maana app nyingine hazisogei mpaka msogeze kwa mkon. Mi nataka inayotembia automatic yaani display itembee ifuate ramani halafu na hiyo stand tsh ngapi?