Kontelo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 571
- 161
Habari zenu wakuu..
Nna tatizo la mara kwa mara la kujiwasha gps yenyewe hata km sijaclick on. Hili tatizo hutokea pindi tu niwashapo internet na yenyewe hujiwasha. Simu nnayotumia ni Tecno H6 na ht wakati natumia Tecno H5 tatizo hili lilikuwepo pia. Simcard nnayotumia ni ya Airtel.
Naombeni msaada wenu ktk hili.
Cc mwlRCT

Last edited by a moderator: