Haha masters g.p.a inatakiwa kuanzia 2.7Kuna utata kuhusu kujiunga na masters hapa tz ikiwa ati kila chuo kinataka Gpa na cut off ilozoweka.tufahamishane point ambazo mtu waweza soma masters.Nimepata Lower second ya point 3.3 Katika Degree ya kwanza hapa chuo kikuu cha Dar es Salaam
Hata hapo udsm unasoma masters kwa g.p.a ya 3.3 ,(lower second kwa waliomaliza udsm ) na upper second kwa waliomaliza vyuo vingineNiwekeni wazi kua 3.3 napata chuo Wapi
Niwekeni wazi kua 3.3 napata chuo Wapi na hivi hapo udom waweza kunisomba kwa hiyo Gpa yangu nisome masters
Udom lazima uwe na GPA 3.5 au zaidi na bora zaidini 3.8 ili wakusomeshe otherwise utajibeba mwenyewe.
Kuna utata kuhusu kujiunga na masters hapa tz ikiwa ati kila chuo kinataka Gpa na cut off ilozoweka.tufahamishane point ambazo mtu waweza soma masters.Nimepata Lower second ya point 3.3 Katika Degree ya kwanza hapa chuo kikuu cha Dar es Salaam
chamviga hebu nakuomba unicheck ili unipe maelekezo 0756729922 issa .kuhusu kusomeshwa au kulipiwa udom