GPA 2.3 unaweza kusoma masters wapi?

Habarini wakuu

kama header inavouliza hapo, je unaweza kusoma masters wapi kama ulipata gpa ya 2.3 degree?

maaana naona vyuo vyote minimum ni 2.7 GPA, je kuna chuo popote au namna yoyote mtu anaweza kafanya kujiendeleza?
2030 gombea udiwani, kuwa mbogamboga ukipita kura za maoni utapitishwa kwenye sanduku la kura tu makarani watatiki.

Hapo utajipa hata Master's in Softcopy Attachment, kule kijani hakuna kinachoshindikana.
Ukiweza ubunge uko hata PhD unajipa, chuo unajiandikia hata Deiwaka University hamna anayehoji.
 
Habarini wakuu

kama header inavouliza hapo, je unaweza kusoma masters wapi kama ulipata gpa ya 2.3 degree?

maaana naona vyuo vyote minimum ni 2.7 GPA, je kuna chuo popote au namna yoyote mtu anaweza kafanya kujiendeleza?
Mimi niliyekuwa nakesha karikoo kubeba bidhaa za kuwauzia masista Du wa Chuo huku pindi likinipita sikuwahi kupata GPA mbovu hivyo.Alafu kusoma Master ni kujiongezea ujinga na stress kama anafikiria kutobo kimaisha aitumie vizuri akili aliyopewa na Mungu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ile si wanapewa udr wakununua
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nataka nisome for fun tu maisha yapo yapo
 
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ile si wanapewa udr wakununua
Kama hutaki wa kununua vipi umeishajipanga kuwa serious na masomo. Ili usijetumia muda mwingi kurudiarudia mara supervisor anakurekebisha.

Ukikosa Master's direct kasome Postgraduate kwanza ili upate sifa. Na kwanini unasoma Master's, kama ni kwa ajili yako binafsi basi soma unayotaka na unayopata, kama unataka uongeze CV kazini usisome nje ya kazi yako au fani yako maana itakosa kukubeba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…