Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 18,649
- 20,988
Najaribu kujiuliza kwa kinagaubaga nashindwa kuelewa ni vipi serikali inashindwa kuzuia WAHINDI hawa wanaoingiza sukari nchini tanzania na hatimaye kufifisha juhudi mbalimbali za wakulima wetu wa MIWA na viwanda vyetu vya ndani ambavyo kwa kweli ni muhimu potelea mbali hata bei ikazidi kidogo isingelikuwa vibaya.Nathubutu kusema nchi hii hakika iko mifukoni mwa wachache wanaoitafuna kupita kiasi. JE serekali inalionaje swala hili?katika uchumi wa kujitegemea kiviwanda?lengo ni nini mpaka kufanya upumbavu huu ambao hata mtu mjinga akipewa nchi hawezi fanya upuuzi huu,je ni kweli viongozi wetu wanashule vichwani mwao mpaka kuachia jamii hii ya MAGABACHOLI KUIENDESHA NCHI WAPENDAVYO.