GOV'T v/s SUGAR INDUSTRIES

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,589
20,896
Najaribu kujiuliza kwa kinagaubaga nashindwa kuelewa ni vipi serikali inashindwa kuzuia WAHINDI hawa wanaoingiza sukari nchini tanzania na hatimaye kufifisha juhudi mbalimbali za wakulima wetu wa MIWA na viwanda vyetu vya ndani ambavyo kwa kweli ni muhimu potelea mbali hata bei ikazidi kidogo isingelikuwa vibaya.Nathubutu kusema nchi hii hakika iko mifukoni mwa wachache wanaoitafuna kupita kiasi. JE serekali inalionaje swala hili?katika uchumi wa kujitegemea kiviwanda?lengo ni nini mpaka kufanya upumbavu huu ambao hata mtu mjinga akipewa nchi hawezi fanya upuuzi huu,je ni kweli viongozi wetu wanashule vichwani mwao mpaka kuachia jamii hii ya MAGABACHOLI KUIENDESHA NCHI WAPENDAVYO.
 
Tanzania industries would become more inefficiency and less effective (Less qty, high price and poor quality product) to Tanzanians if Foreign Embargo or Tariff (Total ban) could be used as a means of protecting them against exposure to competition. Let them get exposed to a free market economy , where the forces of demand and supply determines the price. They ought to invest in technology to reduce their cost of production which could lead to quality and cheaper products.
 
Pinda aliahidi kutopanda bei ya sukari. Hii itasaidia ccm na gvt ktk general election
 
Ajabu na kweli, sukari ya Tanzania ni bei mbaya kuliko ya Thailand
 
Viwanda vya ndani vinawaza kupiga hela tu, vinawanyonya wakulima wa miwa na wananchi wanao nunua sukari pia, ni wavivu wa kubuni njia za kuongeza uzalishaji na kupunguza gharama za uendeshaji. Hawana tofauti na viwanda vya saruji nchini. Haiingii akili sukari (au saruji) iliyotengenezwa nje, imeingizwa nchini na ikalipiwa kodi zote bila kusahau shiping costs halafu inauzwa nafuu kuliko hiyo ya ndani. Inahitaji mwenye mamlaka awe anakunywa viroba ili aweze kuzuia sukari (au saruji) isiingie toka nje, kwanza inaongeza ushindani katika ubora wa bidhaa na unafuu wa bei hivyo mwananchi wa chini anafaidika zaidi.
 
KWANINI? turuhusu ishindane na ya nje?why? tusiipe upendeleo maalum "mali yetu ya kitanzania"pia zipo sababu inabidi zifanywe na GOV'T za makusudi kunusuru "VIWANDA VYETU VYA NDANI"
 
nilichojiuliza, kama sukari yao ni nzuri na ya kiwango bora, kwanini wasiache tu sukari ije toka nje na wao washindane? hao kilombero maji bwerere ya mto, wanatakiwa kulima mashamba mengi, waongeze technologia ili kiwanda kisafishe sukari bora ambayo na wao wata smuggle kwenda nchi nyingine, kama sukari yenu ni nzuri na yenye ubora, kwanini mnaogopa sukari inayotoka nje, kwani wenzenu hiyo miwa wanailima mbinguni? mbona wanauza kwa bei ya chini na bado wanapata faida, ninyi kila mwaka sukari huwa inapanda kila mwaka inapanda....ndio maana maeneo ya mbeya wanatumia sukari ya malawi, pwani huku tunatumia ya dubai imejaa kila eneo. hizo za kilombero mkitaka punguzeni bei ama la fungeni viwanda tutanunua ya bei rahisi na safi toka nje ya nchi.
 
KWANINI? turuhusu ishindane na ya nje?why? tusiipe upendeleo maalum "mali yetu ya kitanzania"pia zipo sababu inabidi zifanywe na GOV'T za makusudi kunusuru "VIWANDA VYETU VYA NDANI"
wewe unasema hiyo ni mali ya watanzania? unawajua wamiliki wa kilombero sugar na mtibwa sugar wewe? hebu tutajie wamiliki wa hisa za viwanda hivyo. nikiona government of Tz ina hisa walau kadhaa basi nitaunga mkono ombi lako. wamejaa wahindi huko ndugu yangu. tena hela ya kuendeshea kiwanda waliiba toka kwetu wananchi.
 
Huko wenzetu e.g India na brazil serikali zao inatoa ruzuku kwa wakulima wa miwa ni viwnda tofaut na huku kwetu, hvy ndo maana sukari yao bei rahisi sanaa
 
wewe unasema hiyo ni mali ya watanzania? unawajua wamiliki wa kilombero sugar na mtibwa sugar wewe? hebu tutajie wamiliki wa hisa za viwanda hivyo. nikiona government of Tz ina hisa walau kadhaa basi nitaunga mkono ombi lako. wamejaa wahindi huko ndugu yangu. tena hela ya kuendeshea kiwanda waliiba toka kwetu wananchi.
UMILIKI WA KILOMBERO UPO HIVI:~Illovo 75%
Gov't of tz 25% /na hata kama utabinafishisha kwa 100%,kwanini nchi imuumize mwakezaji wake wa ndani?
 
UMILIKI WA KILOMBERO UPO HIVI:~Illovo 75%
Gov't of tz 25% /na hata kama utabinafishisha kwa 100%,kwanini nchi imuumize mwakezaji wake wa ndani?
if that is the case, then the government is dumb for not protecting its sugar factory. nakuunga mkono.
 
Wachangiaji wengi kwenye huu Uzi inaonyesha hakufanya a little bit of investigation kuhusu hz claims...
Mahitaji ya sukari hapa nchini n tani 420, 000 na uwezo wa viwanda vyetu vyote n tan 320,000 so kuna makubaliano kat gvt na wenye viwanda hzo tan 100,000 ziagizwe kutoka nje...but sukar inayoingia n zaid ya hyo na hazilipiwi kod. N kma kamxhongo fulan ka wafanya biashara wakubwa na baadh ya viongoz kuendelaea kufaidka name hz deal. Hatukatai competition but it should be fair to all.
 
KWANINI? turuhusu ishindane na ya nje?why? tusiipe upendeleo maalum "mali yetu ya kitanzania"pia zipo sababu inabidi zifanywe na GOV'T za makusudi kunusuru "VIWANDA VYETU VYA NDANI"
Huwajui wabongo wewe,utanunua sukari kg kwa sh 5000 sasa hivi.
 
Tatizo hawa wenye viwanda Tanzania wanaficha sukari ili ihadimike na wauze bei kubwa mi siwaungi mkono kabisa
 
Let them learn from external societies, wanatabia ya ujeuri wanapopewa chance ka hiz juz tu nimeshuhudia wakipandisha bei baada ya kuambiwa sukar ya nje imestopshwa sasa maanaake nin ka sio upuuz, sa grand yangu ashindwe kunywa chai saabu ya wapuuzi wakihindi hao, kaulize workers u will get some internal info.
 
mjiulize kwanini watu wana prefare sukari ya nje? kuliko ya ndani....kwa sababu sukari ya nje bei ni rahisi na ya ndani ni ghali
wazalishaji wa ndani waache tamaaa wauze sukari yao in fair price waache tamaa, wasilete siasa ktk mambo ya
sukari na sasa watu washatka wako radhi kuagiza na kutumia sukari toka nje kutokana na tofauti ya bei
 
Ajabu na kweli, sukari ya Tanzania ni bei mbaya kuliko ya Thailand

mkuu hiyo ndiyo tatizo.....tatizo ni bei! sukari ya kagera au mtibwa na kilomboro ina bei kubwaaaa kuliko ya malawi au huko thailand
 
Nguvu ya 10%.......

Wachangiaji wengi kwenye huu Uzi inaonyesha hakufanya a little bit of investigation kuhusu hz claims...
Mahitaji ya sukari hapa nchini n tani 420, 000 na uwezo wa viwanda vyetu vyote n tan 320,000 so kuna makubaliano kat gvt na wenye viwanda hzo tan 100,000 ziagizwe kutoka nje...but sukar inayoingia n zaid ya hyo na hazilipiwi kod. N kma kamxhongo fulan ka wafanya biashara wakubwa na baadh ya viongoz kuendelaea kufaidka name hz deal. Hatukatai competition but it should be fair to all.
 
mi nilishawahi kuja humu na uzi wa vumbi la majani ya chai tunayouziwa watanzania na viwanda vya ndani,ikiwezekana serekali fungueni milingo hata kwa viwanda vya majani ya chai toka nnje vitavyoweza muuzia mtanzania wa hali ya chini pakiti ya sh 50 yenye ubora kuliko haya ya sasa ambayo hata ukitumia chujio bado vumbi unalinywa pia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom