Govt of Tanzania VS Agha Khan

Govt of Tanzania VS Agha Khan

arigold

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2011
Posts
600
Reaction score
341
kuna habari zimeenea hapa mjini kuwa Aga Khan anafunga biashara zake hapa Tanzania na kendelea kuwekeza nchi zingine kama msumbiji na kadhalika

Sina hakika kama hopitali yake itauzwa au vipi lakini inaonekana hatakiwi au ana tofauti kubwa sana na wakubwa serikalini

Tunajua kuwa serikali ya Zanzibar ilimtimua japo alifanya miradi mingi ya afya na elimu kile visiwani na badala yake wakapendelea yule mwarabu wa hoteli (barwady)

kama ni kweli tunampa pole sana Aga Khan na asante sana kwa misaada na miradi uliyowekeza Tanzania kwenye Kilimo, afya, hospitali za akina mama vijijini, elimu na kadhalika.

Hii ndio Tanzania...

Z

Mary Nagu na TIC na wengine sina hakika wamefanya juhudi gani kuweza kujua tatizo ni nini na vipi wamefanya juhudi ili kulitatua maana serikali itakosa kodi na watu watakosa ajira toka kampuni zake huyu
 
dah nionavyo mimi mbona sisi tutaloose.
Hawa wahindi mbona hawana noma? Hawatuingilii kwenye siasa wala utawala ukiringanisha na waislam na wakristo?
Ila nahisi mtafaruku unatokea kwamba wanatengeneza pesa sana ila hawalipi kodi wakiclaim kuwa wao ni FBO lakini gharama zao zinazidi hata private hospitals.
 
Na Sisi wenye biashara ambazo tunashare nazo itakuwaje?
 
dah nionavyo mimi mbona sisi tutaloose.
Hawa wahindi mbona hawana noma? Hawatuingilii kwenye siasa wala utawala ukiringanisha na waislam na wakristo?
Ila nahisi mtafaruku unatokea kwamba wanatengeneza pesa sana ila hawalipi kodi wakiclaim kuwa wao ni FBO lakini gharama zao zinazidi hata private hospitals.

Mkuu hawa jamaa wanatengeneza faida kubwa sana kutokana na kutolipa kodi stahiki. Ukienda kwenye hospitali zao mwananchi wa kawaida hawezi kwenda. Huwezi linganisha na hospitali za kikatoliki. Hawa jamaa ni wezi wanaotumia mgongo wa fbo. Kuondoka kwao kutapunguza upatikanaji wa huduma sawa lakini walitakiwa kulipa kodi
 
Wanatoza garama kubwa sana acha waende tu..
 
kuna habari zimeenea hapa mjini kuwa Aga Khan anafunga biashara zake hapa Tanzania na kendelea kuwekeza nchi zingine kama msumbiji na kadhalika

Sina hakika kama hopitali yake itauzwa au vipi lakini inaonekana hatakiwi au ana tofauti kubwa sana na wakubwa serikalini

Tunajua kuwa serikali ya Zanzibar ilimtimua japo alifanya miradi mingi ya afya na elimu kile visiwani na badala yake wakapendelea yule mwarabu wa hoteli (barwady)

kama ni kweli tunampa pole sana Aga Khan na asante sana kwa misaada na miradi uliyowekeza Tanzania kwenye Kilimo, afya, hospitali za akina mama vijijini, elimu na kadhalika.

Hii ndio Tanzania...

Z

Mary Nagu na TIC na wengine sina hakika wamefanya juhudi gani kuweza kujua tatizo ni nini na vipi wamefanya juhudi ili kulitatua maana serikali itakosa kodi na watu watakosa ajira toka kampuni zake huyu
Aondoke mwehu huyu km anaweza sacrifice ardhi nono aliyochukua TZ kuanzia mtwara hadi kule Arusha.Ni mwizi km wezi wengine ningefurahi km angeondoka gracefully,asijefanya mambo ya Zitto eti atoe hela ili serikali ione umuhimu wake..Kuanzia hospital, mahotel , shule, vyuo, kilimo, bank (DTB),Insurance Jubilee, etc.
 
Dah! Hawa Agha Khan kwa gharama za matibabu ni balaa,watoto wangu mapacha umri wa miezi 17 walilazwa just for 24hrs bill ilikuja Tshs 976,540/=,hii si hospital ya Watanzania na kama kweli hawalipi kodi they must go!
 
Back
Top Bottom