Govt: No Foreign Terrorists in Ukerewe

Govt: No Foreign Terrorists in Ukerewe

Habari wakuu!

Kutokana na tetesi zilizokuwa zimesambazwa na gazeti la Mtanzani toleo la tarehe 13.02.2013 na tarehe 20 mwezi huu imethibitika Aljazeera Islamic Centre kilichopo Nansio kwenye kisiwa cha Ukerewe hakijishughulishi na ugaidi. Gazeti la Mtanzania liliandika upotoshaji kwamba chuo hicho kilichojengwa kwa hisani ya nchi za kiarabu kinatoa mafunzo ya kushambuliana kwa silaha aina ya jambia.

Pia gazeti liliandika kuwa chuo hicho kina ushirika na Alqueda na Al shabaab wanashiriki ugaidi. Mwenyekiti wa chuo hicho,Sheikh Ramadhan Salum Mazige ambaye pia ni diwani wa Nansio (CCM) amekanusha vikali habari hizo na kulitaka gazeti likanushe haraka kwani ni uchonganishi wa wazi.

Pia mmoja kati ya waanzilishi Mzee Jabil Katula amesema chuo hicho hakitoa mafunzo ya kigaidi na sheria zote zilifuatwa katika kuanzishwa kwake, serikali pia inatambua na DC na RC kwa miaka tofauti wamehudhuria mahafali...

(Source:Radio Times Fm)

Atuhumiwe yeye na asasi yake, ajipeleleze mwenyewe, na akanushe mwenyewe! Hivi ni nini kazi ya hawa wachovu "Usalama wa Taifa" au TISS?
Mbona nchi inazidi kuwa si salama Kila kukicha? Kuna umuhimu wa kuwa na asasi hii tena?
 
Wenzenu wanajitahidi kuwekeza kwenye shule na hosipitali ambazo wanajamii wote wanafaidika nazo ila wangine wako buzy kuanzisha judo na kareti centres kazi kweli kweli
Habari wakuu!

Kutokana na tetesi zilizokuwa zimesambazwa na gazeti la Mtanzani toleo la tarehe 13.02.2013 na tarehe 20 mwezi huu imethibitika Aljazeera Islamic Centre kilichopo Nansio kwenye kisiwa cha Ukerewe hakijishughulishi na ugaidi. Gazeti la Mtanzania liliandika upotoshaji kwamba chuo hicho kilichojengwa kwa hisani ya nchi za kiarabu kinatoa mafunzo ya kushambuliana kwa silaha aina ya jambia.

Pia gazeti liliandika kuwa chuo hicho kina ushirika na Alqueda na Al shabaab wanashiriki ugaidi. Mwenyekiti wa chuo hicho,Sheikh Ramadhan Salum Mazige ambaye pia ni diwani wa Nansio (CCM) amekanusha vikali habari hizo na kulitaka gazeti likanushe haraka kwani ni uchonganishi wa wazi.

Pia mmoja kati ya waanzilishi Mzee Jabil Katula amesema chuo hicho hakitoa mafunzo ya kigaidi na sheria zote zilifuatwa katika kuanzishwa kwake, serikali pia inatambua na DC na RC kwa miaka tofauti wamehudhuria mahafali...

(Source:Radio Times Fm)
 
Gazeti hili ni la kikafiri unategemea nini? Tutafika pahali hata haya magazeti yanayofadhiliwa na dini nyengine kama Tanzania daima hatutonunua tena.

mwenye gazeti Rostam Aziz, hivyo basi yeye aweza kuwa ni kafiri? Si mmezoea kuita wakristo makafiri? Jipambanue zaidi!
 
Pia chuo kingine cha kuchunguzwa kipo hapa kwetu Ipogoro Iringa kwani nao wanatoa mafunzo ya kigaidi. serikali tunaomba msaada wenu please
Habari wakuu!

Kutokana na tetesi zilizokuwa zimesambazwa na gazeti la Mtanzani toleo la tarehe 13.02.2013 na tarehe 20 mwezi huu imethibitika Aljazeera Islamic Centre kilichopo Nansio kwenye kisiwa cha Ukerewe hakijishughulishi na ugaidi. Gazeti la Mtanzania liliandika upotoshaji kwamba chuo hicho kilichojengwa kwa hisani ya nchi za kiarabu kinatoa mafunzo ya kushambuliana kwa silaha aina ya jambia.

Pia gazeti liliandika kuwa chuo hicho kina ushirika na Alqueda na Al shabaab wanashiriki ugaidi. Mwenyekiti wa chuo hicho,Sheikh Ramadhan Salum Mazige ambaye pia ni diwani wa Nansio (CCM) amekanusha vikali habari hizo na kulitaka gazeti likanushe haraka kwani ni uchonganishi wa wazi.

Pia mmoja kati ya waanzilishi Mzee Jabil Katula amesema chuo hicho hakitoa mafunzo ya kigaidi na sheria zote zilifuatwa katika kuanzishwa kwake, serikali pia inatambua na DC na RC kwa miaka tofauti wamehudhuria mahafali...

(Source:Radio Times Fm)
 
Hata mimi nisingekubali, sijui kama hata wewe ungekubali kuambiwa unatoa mafunzo ya kigaidi wakati unafahamu fika ni kinyume na sheria ya nchi. Lakini mleta thread umesema
M/kiti ambaye ni shekhe amekanusha kuwepo kwa mafunzo ya kigaidi katika chuo hicho na serikali inafahamu, sawa. Tuambie chuo kinatoa mafunzo gani, kwa makundi gani na kwa makusudi gani? Watanzania wote wanaweza kunufaika na hicho chuo?
 
tedo. Kwa mujibu wa katibu wa BAKWATA mkoa wa Mwanza amesema chuo hicho kinatoa mafunzo ya kidini ya kiislamu.Kimsingi kuna ugumu kidogo wa kufanya Infiltration lakini tuvute subira kwani jitihada zinafanyika ili kujua ni masomo gani yanafundishwa,kwa mtaala upi na kujua wahitimu huwa wanaenda wapi au wanafanya nini baada ya kuhitimu.Pia ni kuhakikisha kama wale watoto wanaosemekana kuwa na miaka 7 hadi 10 kama ni kweli wanadahiliwa,wanatunzwaje wanapokuwa hapo n.k Lakini kwa ishara za awali inaonekana kutokuwepo kwa hali ya kutia shaka sana kama mwandishi wa Mtanzania alivyobainisha.
 
Last edited by a moderator:
Serikali ya kutoa matamko badala ya kuchukua hatua......
 
Gazeti hili ni la kikafiri unategemea nini? Tutafika pahali hata haya magazeti yanayofadhiliwa na dini nyengine kama Tanzania daima hatutonunua tena.
Ukweli TUNAPASWA KUMPOKEA YESU SISI WOTE. ILI TUWEZE KUOKOKA. YESU NI MWANA WA MUNGU. MUNGU ALIMTOA MWANA WAKE WA PEKEE YESU KRISTO ILI TUWEZE KUOKOKA NA KUINGIA KWENYE UFALME WAKE. USIPO MPOKEA YESU UTABAKI KWENYE UFALME WA SHETANI NA MWISHO WAKE NI MBAYA SANA. MSIBISHE WALA MSIDHIHAKI. UKWELI SOMA HAPO CHINI NA BADILIKA.
 
Atuhumiwe yeye na asasi yake, ajipeleleze mwenyewe, na akanushe mwenyewe! Hivi ni nini kazi ya hawa wachovu "Usalama wa Taifa" au TISS?
Mbona nchi inazidi kuwa si salama Kila kukicha? Kuna umuhimu wa kuwa na asasi hii tena?

Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mama Eng. Stera Manyanya, amelazimika kufunga kituo kinachodaiwa cha kuwatunza watoto yatima na wale wa mazingira magumu, ambacho kwa uhalisia ni watoto waliokusanya kutoka kwa wazazi wao kwa ahadi ya kuendelezwa lakini wakawekwa kwenye geto la kufundishwa judo na majambia kusilimishwa kwa nguvu na kituo hicho hatimaye kugeuka kuwa dangulo. na machafu ya kila aina. usalama wa taifa mmh. !!!!!!
 
Crucial Man said:
Mods nawashauri mtenganishe uzi huu na ile habari ya Nahodha aliyoitoa bungeni kumjibu Mbunge Machemli kwani havihusiani na habari ya Aljazeera Muslim Centre.Hiyo ya Daily News ilihusu askari wa nchi mbalimbali waliokuwa wanafanya mazoezi ya kijeshi na kutuhumiwa kuwanyanyasa raia.Lakini lengo la thread ilikuwa ni ile habari iliyoandikwa na Mtanzania ambayo ndiyo ingefaa kuunganishwa na uzi huu kwani ile iliyotolewa na Mhe.Nahodha ilishaeleweka.Nadhani nimeeleweka ikizingatiwa kwamba lengo ni ku create verification na kuanika ukweli wa jambo husika.Ili manung'uniko kwamba JF pia kuna udini ingefaa thread ingebaki ilivyokuwa maana hilo tamko la serikali lilikwishajadiliwa,sasa tunajadili taarifa ya viongozi wa dini husika na namna ya kupata ukweli.
 
Mods nawashauri mtenganishe uzi huu na ile habari ya Nahodha aliyoitoa bungeni kumjibu Mbunge Machemli kwani havihusiani na habari ya Aljazeera Muslim Centre.Hiyo ya Daily News ilihusu askari wa nchi mbalimbali waliokuwa wanafanya mazoezi ya kijeshi na kutuhumiwa kuwanyanyasa raia.Lakini lengo la thread ilikuwa ni ile habari iliyoandikwa na Mtanzania ambayo ndiyo ingefaa kuunganishwa na uzi huu kwani ile iliyotolewa na Mhe.Nahodha ilishaeleweka.Nadhani nimeeleweka ikizingatiwa kwamba lengo ni ku create verification na kuanika ukweli wa jambo husika.Ili manung'uniko kwamba JF pia kuna udini ingefaa thread ingebaki ilivyokuwa maana hilo tamko la serikali lilikwishajadiliwa,sasa tunajadili taarifa ya viongozi wa dini husika na namna ya kupata ukweli.
 
Atuhumiwe yeye na asasi yake, ajipeleleze mwenyewe, na akanushe mwenyewe! Hivi ni nini kazi ya hawa wachovu "Usalama wa Taifa" au TISS?
Mbona nchi inazidi kuwa si salama Kila kukicha? Kuna umuhimu wa kuwa na asasi hii tena?

Wafanye fujo wenyewe, wachome makanisa na kuua watu wenyewe, waandamane wenyewe, wajikusanye na kutaka usuluhishi wenyewe, walaani wanayo yafanya wenyewe.
 
Ukweli TUNAPASWA KUMPOKEA YESU SISI WOTE. ILI TUWEZE KUOKOKA. YESU NI MWANA WA MUNGU. MUNGU ALIMTOA MWANA WAKE WA PEKEE YESU KRISTO ILI TUWEZE KUOKOKA NA KUINGIA KWENYE UFALME WAKE. USIPO MPOKEA YESU UTABAKI KWENYE UFALME WA SHETANI NA MWISHO WAKE NI MBAYA SANA. MSIBISHE WALA MSIDHIHAKI. UKWELI SOMA HAPO CHINI NA BADILIKA.

we nin na dini yako ilyopanda meli..jitu jeusii kazi kushadadia dini za weupe dini yenyewe umeletewa..mtaje Paulo coz ndo aliyokuletea dini yako hiyo cyo unamsingizia Yesu
 
Salvatory Naruyaga: mbunge wa ukerewe kupitia chadema amekanusha vikali habari kupitia gazeti la mtanzania kwamba yeye aliongea na gazeti hilo kuhusu Taasisi ya Islamic Center kuhusika na Ugaidi.

Amesema yeye hajawahi na wala hajui kwanini gazeti hilo limeandika taarifa hiyo huku ikumnukuu yeye.
Amesema yeye kama Mbunge hajui wapi gazeti hilo limetoa taarifa hiyo na kudai pengine ni njama za gazeti hilo la kutaka kumgombanisha na jamii ya kiislam hapa nchini. amesema hakuna mwananchi wa eneo lake aliwahi kupeleka malalamiko hayo kwake.

SOURCE: Mahojiano ya mbunge huyo na REDIO IMAAN.

PIA TAASISI YA ALJAZIRA ISLAMIC CENTRE UKEREWE WATOA SIKU 7 KWA GAZETI LA MTANZANIA KUKANUSHA KWA MAANDISHI MAKUBWA TAARIFA ILIZOTOA LA SIVYO ITACHUKUA HATUA ZA KISHERIA.
 
Sioni ajabu kwa mh Diwani Ramso kukanusha, kwasababu pale Nansio yeye nisawa na Mungu mtu....
Anajiita Sheikh wa wilaya, kachanganya uchawi wa kienyeji na ule wa kidini (majini), sasa hata ule uchawi wa mzungu (money) pia unashika kasi, ni noma eti!
 
Mmmmh! kazi ipo chukua mwandishi kapekue kwake ( lingekuwa tanzania daima limemuandika mbunge wa CCM) hich ndicho kingefanyika lakin kwahili hakuna kitu pale......
 
Mheshimiwa Spika, kule Ukerewe kuna wanajeshi kutoka Uganda na Kenya wameingia na kupiga ovyo watu kuleeeeeeee UKEREWE!. Naomba mwongozo.
 
Hata mimi nisingekubali, sijui kama hata wewe ungekubali kuambiwa unatoa mafunzo ya kigaidi wakati unafahamu fika ni kinyume na sheria ya nchi. Lakini mleta thread umesema
M/kiti ambaye ni shekhe amekanusha kuwepo kwa mafunzo ya kigaidi katika chuo hicho na serikali inafahamu, sawa. Tuambie chuo kinatoa mafunzo gani, kwa makundi gani na kwa makusudi gani? Watanzania wote wanaweza kunufaika na hicho chuo?
Hayo maswali yako yakijibiwa tu chuo kinafungwa!
 
Back
Top Bottom