Govt bans permits to foreign petty traders | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Govt bans permits to foreign petty traders

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kubwajinga, Sep 17, 2008.

 1. Kubwajinga

  Kubwajinga JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2008
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,190
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Govt bans permits to foreign petty traders  THISDAY REPORTER
  Dar es Salaam

  GOVERNMENT will this year stop issuing working permits to foreigners engaging in petty businesses reserved for locals.

  A spokesman of the Immigration Services Department, Abdi Ijimbo, said in an interview yesterday in Dar es Salaam that foreigners are only allowed to invest in major businesses requiring huge capital.

  Small and petty businesses that do not require a big capital investment are reserved for nationals, he explained.

  He made the remarks in the wake of growing concern from some Tanzanians that foreigners were engaged in retail and petty businesses which are the exclusive right of the locals.

  A survey by THISDAY has established that there has been a huge influx of foreigners from neighbouring countries and the Far East engaged in small businesses in the central business district of Kariakoo in Dar es Salaam and in the city's suburbs.

  The businesses conducted include selling jewellery, household items, spare parts, clothes, electronics, restaurants and other petty trades.

  Ijimbo said the Immigration Department will not issue permits to foreigners who engage in small businesses.

  He noted that a new procedure would be introduced to keep foreigners off-limits from petty trade.

  Working permits would be issued to serious foreign investors who have the capital needed to set up manufacturing plants and other major businesses, he explained.
   
 2. Kubwajinga

  Kubwajinga JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2008
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,190
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hivi mgeni mmachinga atapataje working permit? Kuna watu kama akina Chavda ambao immigration wamewashindwa ambao deals zao chache tu zinatingisha nchi nzima.
   
 3. M

  Masatu JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Talk abt kukumbuka shuka alfajir...
   
 4. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo wanabadili taratibu au walikuwa wanavunja taratibu?

  Maana kama hili swala halihusiani na Immigration Act inayoandikwa na kurekebishwa na Bunge basi amejuaje huyu mtu wa Immigration kwamba biashara kama hizi hairuhusiwi Wamachinga wa nje wafanye? Au ni mawazo yake yeye? Sitetei Wamaching wa Kichina ila nakataa hizi half-ass information kutoka kwa viongozi na press.

  Sijui ni viongozi ndio hawajui wanachokiongea au ni crummy press haiwaelewi na haielezi sahihi wanachosema hawa viongozi?

  Nani kaelewa hii habari, tafadhali.
   
 5. Kubwajinga

  Kubwajinga JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2008
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,190
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Inaelekea immigration hawaelewi upi uitwe umachinga na ipi iwe biashara ya kawaida. Nafikiri target hapa ni waChina lakini sidhani kusema investor ni yule tu anayejenga kiwanda ni sahihi.

  Waweke kiwango cha mtaji kiwe kikubwa zaidi kwa wageni kuanzisha biashara, lakini wasipige marufuku kabisa retailing. Kwa mantiki hiyo wakimkuta mChina au Mmalawi anafanya umachinga Kariakoo, labda awe raia wa TZ, otherwise itakuwa rahisi kumchukuliwe hatua. Sio vigumu kutofautisha biashara ya TShs. 50,000,000 na umachinga wa Kariakoo.
   
 6. C

  Chuma JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2008
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hata milion 50 kwa sasa ni biashara ya kimachinga!!! japo huwezi kuwa Karume..lkn unaweza kuwa posta!!!
   
 7. C

  Chief JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2008
  Joined: Jun 5, 2006
  Messages: 1,490
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160

  Kweli, huku ni kukumbuka blanketi asubuhi.
   
 8. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Umeeleza swala la msingi sana hapa Kuhani.


  Huu ni udhaifu mkubwa unaoonyeshwa na hawa waandishi ingawa wamekuwa na muda wa masaa mengi kuichambua habari ila wameshindwa kutuletea kitu kilichosimama. Ni kama vile mwanga unavyopita kwenye glass - glass ikiwa ndo mwandishi.

  Tuna kasumba ya kutohoji viongozi wetu. We are changing slowly though.

  Vigogo wakitoa nafasi kwa press kuulizwa maswali ya papo kwa hapo wananchi tutaboreka kishenzi.  .
   
 9. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2008
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Nafikiria wangesema wanasitisha kutoa...na hawata renew walioomba kabla...pia wangewapa muda kuwa wameondoka.........nchi imekuwa kama haina mwenyewe wakati wajasilia mali wetu wamejaa tele..kwa nini lakini?/ile Fair competetion inafanya kazi gani?sielewi...wachina wanauza hata ice cream,pop corn etc...
   
 10. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2008
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Mkuu wachina hawana hata kosa .Wenye shida ni sisi wenyewe . Tukiona ngozi nyeupe inauza bia kwenye klabu Wabongo wote wanakimbilia utadhani zao ni tamu zaidi. Halafu angalia wanavyowabamiza bei .Ni hasara tupu.We need revolusion of minds and attitudes towards ourselves. Mzungu anakuja bongo anafungua baa au clab ya usiku tunakimbilia wote ,halafu tunaanza oh , ah taarabu tele.
   
 11. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #11
  Sep 18, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,612
  Likes Received: 82,206
  Trophy Points: 280
  EDITORIAL: Who gave permits to foreign petty traders?

  EDITORIAL
  DAR ES SALAAM

  TANZANIA is one of the poorest countries in the world, and yet there are now well accepted innuendos, that, if you want to become rich fast, 'invest' in this country.

  Richness amid poverty is the realistic face of Tanzania economy. The country is endowed with abundant resources - minerals, raw materials, fertile land and good people. Yet it is the poorest of the poor!

  Many factors have been said for this anomaly. Yet the most plausible are laxity, corruption and disregard of laid down procedures in investment, immigration, taxation and supervision; factors that have seen rugged trouser investors, enter the country with few coins and become billionaires a few months later.

  Call it liberalization or the opening of economies, verily we say, our country has been invaded by conmen in the shade of 'investors.' We are being cheated left and right, all in the name of liberalization!

  The letting in of foreigners to trade without due diligence has opened the flood gates to masqueraders trading in legal and illegal business. The rising numbers of these foreign petty traders and flooding of local market with counterfeit goods, most of them manufactured in the Far East, have intrinsically coincided.

  While we do not like to incite racial sentiments, it is an undeniable fact that there are a lot of people from the Far and near East doing hawking business in Dar es Salaam. They cannot by any chance be called investors, because of the petty business they are engaged in. Yet they have working permits and business licences.

  The lingering question is how did they come in the country in the first place? Where did they declare their capital? Do they have TIC investment certificates? Is their work designated in their working permit?

  We are putting up these pertinent questions because we feel a lot more cheated. These people are doing petty jobs which should be reserved for Tanzanians.

  More importantly we want to express our dissatisfaction with the way authorities are handling the issue of employment. We feel that such cheating is also rampant in the tourist industry, where even bed makers are foreigners, not to say receptionists.

  We call on the government to take a serious look at the way work permits are issued out to foreigners. Giving a foreigner a working and residence permit to engage in petty trade is to break the law!

  We call on the government to take to task all unfaithful officials in the Immigration Department; Ministry of Labour and Youth Development and TIC for breaking the law.

  We say it is an absurdity of the highest order for the immigration department to say they will not renew working permits to foreign petty traders! What the general public wants to know is: How and why did you give them the permits in the first instance?
   
 12. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #12
  Sep 18, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kuna mtu au watu pale uhamiaji wanapaswa kuwajibishwa kwa hili. kama sheria zinaelezea biashara ambazo zinapaswa kufanywa na wenyeji tu, ilikuwa Uhamiaji itoe vibali kwa wageni kufanya shughuli hizo. Huku si kukumbuka shuka alfajiri, bali asubuhi
   
 13. k

  kyala nkota New Member

  #13
  Sep 18, 2008
  Joined: Sep 17, 2008
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Press yetu inashida sana hata kwa waandishi ambao ni wakongwe, kuna host mmoja wa kipindi katika Tv ya channel ten-DSM, yeye huongea zaidi kuliko wale aliowaalika, swali mmoja huuliza dakika tatu kisha hutaka wageni wake wajibu kwa dakika moja maana huwa anawainterrupt sana. Sasa kama huyo ni obvious ana matatizo katika kuuliza maswali. Nimeshuhudia mara nyingi waandishi wakikusanyika kwenye tukio ambalo lugha inayotumika ni ni ya kigeni, ni mwandishi mmoja au wawili ndio huwa bize wengine(wasiojua lugha hiyo) husubiri huyo mtaalamu wao awaambie kwa kiswahili yaliyojiri ndio waandike stori. Ndo maana unakuta habari nyingi kwenye magazeti hata picha huwa ni zile zile kwenye magazeti mengi. Bongo kuna dailies zaidi ya kumi na kitu, lakini unahitaji kununua magazeti mawili tu utakuwa umeyasome yote ya siku hiyo maana habari ni zile zile
   
 14. k

  kyala nkota New Member

  #14
  Sep 18, 2008
  Joined: Sep 17, 2008
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi nashauri isiishie kwa petty traders tu, bali iende zaidi kwa foreigners wanaofanya kazi ambazo watanzania wanaweza kuzifanya.Kuna kundi kubwa sana la kazi za kada ya chini na kati katika sekta binafsi ambazo zinafanywa na wageni wakati watanzania wenye uwezo wapo. Tz tuna nini, mimi nililiwahi kupelekwa Ethiopia na taasisi yangu, kule idara ya kazi walikataa waksema kuna waethiopia wanaweza kufanya kazi hiyo vizuri tu, labda tuwape short training basi. Ajabu waethiopia kutoka taasisi hiyoyo wakaja Tz na wakapolkelewa bila matatizo yoyote. Kuna Mtz mmoja very compentent alikataliwa na wazambia kuwa meneja mkuu wa kiwanda kikubwa cha cement kisa, wazambia walisema hatuhitaji kuongozwa na meneja kutoka TZ wakati na sisi tuna sifa kama zake.

  Kuna mahouseboy, mashamba boy na mahouse girl wengi kutoka malawi, zambia, kenya na uganda masaki na Oysterbay wanaofanya kazi kwa diplomats, mishahara yao ni makubwa kuliko hata ya watumishi wengi wa umma. Kzi hizo zingeweza kufanywa na vijana wengi wa kitz. Viwanda vingi vya wahindi wameajiri vijana kutoka india na Pakstani kwa kazi ambazo vijana wetu wa VETA wangeweza kufanya
   
Loading...