misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 17,742
- 14,496
HahahahSasa kwenye hili tamasha inabidi kiba aende na Kalapina "asiye husika na show ashuke"
HahahahSasa kwenye hili tamasha inabidi kiba aende na Kalapina "asiye husika na show ashuke"
Too bad. Simu yangu haisapoti kuweka hapa. Ila wezi cheki kupitia hii link youtube
Assume hii kitu ingefanyika tz na akifanya makonda...Gavana Joho yupo juu ,ODM namba two.
Too bad. Simu yangu haisapoti kuweka hapa. Ila wezi cheki kupitia hii link youtube
Hahah Pina huwa hapendi ujinga.Hahahaaa uwii na kumbe alitukana juu,chid was he high ama vipi? Ila nimecheka sana.Thanks