Government seeks new investor to operate KIA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Government seeks new investor to operate KIA

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Prodigal Son, Apr 26, 2010.

 1. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2010
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  The Government is looking for a new investor to run the Kilimanjaro International Airport (KIA) after terminating the Kilimanjaro Development Company (Kadco) contract over poor performance.
  Infrastructure Development ministry permanent secretary Omary Chambo told ‘The Guardian’ in an interview recently in Dar es Salaam that the government had retaken all shares in KIA in a bid to improve service delivery at the airport.
  “We have taken back all shares, meaning that the management of KIA owned by the government by 100 per cent. This will continue to be so until a new investor is obtained to run the airport,” he explained.
  Defending the government decision to ditch Kadco, the PS said KIA had been experiencing myriad of problems due to the firm’s poor management.
  According to Chambo, foreign shareholders in the firm had made lots of empty promises, which the government would not continue entertain them any longer.
  Kadco was in late 1998 given 25 years to operate the airport in a public/private sector joint venture with the government.
  The move paved the way for much-needed investment in the facility with a view to creating Africa’s first fully privatised international airport. The airport’s management was provided by Schiphol and the operations managed by the UK’s CAA International Services.
  Under the agreement, the management team’s first task was supposed to be upgrading the airport to international standards.
  Kadco was expected to undertake the upgrading of safety systems and equipment, staff training, setting up of modern management systems and long overdue refurbishment of terminal facilities.
  It was also expected to launch a marketing campaign aimed at developing and promoting the airport’s tourism potential internationally.
  Not long time go, the minister for Infrastructure Development Dr Shukuru Kawambwa said the government was now in talks with investors from the United States and South Africa in connection with the matter, but he would not be drawn into giving specific details.
  He explained that the government’s decision to repossess the airport was prompted by a need to improve service deliver of an airport believed to be a vital cog in the wheel of the country’s tourism industry.
  The PS informed: “We are now discussing with two investors who have shown interest in investing in this facility

  Chanzo; IPP
   
 2. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2010
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Ni wakati sasa kwa serekali na watendaji kuacha uvivu wa kufikiri, ni kwanini msijifunze Kenya wanafanyaje? wao wanataka kujenga uwanja wakimataifa Holili which is very near to KIA nyie badala ya kuja na mbinu mbadala mnafikiria kutafuta Mbia mwingine, kama huyo mliempa ameshindwa kwa miaka yote hiyo mnauhakika gani mnayemtafuta ataweza???ni vema basi mkawauzia hata serekali ya kenya ikauendesha,, badala ya kujenga huo wa Holili in the spirit of EAC,,,kati ya serekali ambazo maofisa wake ni wavivu kufikiri naona TZ mtakuwa mnaongoza,,,kila kukicha siasa,,,semeni mnataka kumpa Agakhan bure na si vinginevyo,,mnakeera saana,,
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Move ya kuuchukua na kuurudisha serikalini uwanja huu ni nzurri sana kimsingi, maana umekuwa ni hasara kwa serikali(in terms of mrahaba or whatever wanachopata kama gawio), hii ikiwa ni kutokana na mkataba wa kipuuzi uliosainiwa wakati wa kupeana uwanja huu!...Inasemekana kuna Wabongo wajanja wachache ambao waliamua kumwita mzungu auze sura tu kama mwekezaji, lakini wao ndio walikuwa wamiliki!...huh!
  Shida inayokuja ni hii, kwamba nani atapewa sasa...maana tunaweza kuruka jivu tukakanyaga moto...Sielewi ni kwanini kiwanja hiki kisiwe chini ya Tanzania Airports Authority kama vilivyo viwanja vyote vingine vikubwa vya hapa. Kama TAA wanauendesha uwanja wa JNIA, ninini kinashindikana na KIA?
  Hivi Mchina hautaki huu uwanja?. Mimi namwamini mchina kwenye mambo ya Aviation bana...Kazi ya ukweli itafanyika, na longolongo za kswahili zitagonga mwamba!
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Nilitamani nisichangie kwene hii thread lakini nimeshindwa jizuia..again same shyt different toilets.

  Serikali kila kitu haiezi sasa wajameni mnafanya nini huko mawizarani wajameni? kaa kazi yenu ni kukuwadia vitegauchumi vyetu, basi wizara zote zifutwe na itafutwe kampuni binafsi ya kimataifa ambayo ni proven broker ambayo itakaa kibiashara zaidi ili tujue wazi kwamba hatuna tena nchi wala serikali. Hizi fursa za kibiashara kaa hizi ndio ilikuwa nafasi muafaka kwa serikali kuongeza ajira, kutanua huduma, etc , lakini hivi sasa serikalini kazi yao kubwa ni ukuwadi na kufanya shughuli zingine za kuunguza kodi za wavuja jasho ambazo zina ZERO OUTPUT X IMPACT.

  Kwa kifupi sioni functionality ya serikali. It is really hopeless and useless.
   
 5. K

  Kekuye Senior Member

  #5
  Apr 27, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijui tuna matatizo gani. Yaani mbia anapewa kuendesha/kusimamia uwanja kwa miaka 25. Miaka yote hiyo 12 hakuna mabadiliko yoyote na anaangaliwa tu. Inaelekea kama siyo changamoto iliyojitokeza ya uwanja mwingine kujengwa Holili huyo aliyekuwepo angeendelea kuangaliwa tu hadi miaka 25 iishe. Inatia uchungu sana.
   
 6. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2010
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nchi ikiongozwa na wababaishaji ni kasheshe kwelikweli. Yaani baada ya kusikia kwamba sasa Kenya wanajenga uwanja wa Kimataifa, ndio Serikali inaamka. Its too late now, kwa sababu hata tukijenga sasa hivi, au kuleta hao Investors, hawasaidia chochote, zaidi ya kuiba tu na kuondoka. Kwa niaba ya jumuiya ya Afrika ya Mashariki, waaaachieni Kenya wapete, midhali sisi akili zetu zilikuwa vacation.
   
 7. M

  MpendaTz JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 1,579
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Nani amekudanganya kuwa zimeshatoka vacation??
   
 8. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Suala la kuingia mikataba mibovu kila kukicha ni zaidi ya ufisadi wa mali. huo lazima tukubalii tuu watupuu sana katika kustrike business deal ambazo ni endelevuuu.

  Haiwezekani TRL, KIA, ATCL, na TICTS zote baada ya muda mfupi zionekanee ni za kuvunjaaaaaaa??? Knowledge limitation ni tatizoo sugu katika vichwaa vya viongozii au waatalaamu wa wizaraa husika. Kwa nini kama ushaurii wa waatalamu haufuatwii hatujasikia wakijiuzuluu na kutoa taarifa publically zaidi ya ile ya Tanesco Dr kujiuzulu na kuombwaa kurejeeaaa?????

  Tuna zaidi ya tatizoo katika kusimamiaa rasilimali zetu..waatalamu vs viongozi wanasiasa na wachumia matumbooooo...
   
 9. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #9
  May 6, 2010
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Imefika kipindi sasa tuwatimue IMF na WB kwani serekali wanakubaliana na kila hawa wajamaa wanachowashauri, uwepo wa reli na bandari nadhani ilikuwa ni fursa pekee kwa TZ kufanya biashara na nchi za maziwa makuu, wameuwa bandari, wameuwa reli, wnasiasa wanachokiongea hakina matiki hata kidogo,,, ATC walikuwa wapewe wachina na tayari walikuwa wameshaanza kuwekeza Uwanja wa ndege wa Dar naamini walikataa lakini serekali haikutaka kusema ukweli hadi sasa,,,vitu haviendi kabisa, matumaini hakuna,, mpaka inakatisha tamaa kabisa, wanaonufaika ni wanasiasa na familia zao tu,, inakera saana
   
Loading...