Government and Barrick Visit Mining Sites during their Talks

Tume yetu imekuwa siri kubwa sana kwa nini, mbona tume zote mbili za uchunguzi zilitangazwa hadharani na zikaapishwa hadharani kwa nini hii inafanywa siri kubwa, nimeanza kukosa imani na hiyo tume yetu
eti `tume yetu' hiihii tume ambayo hata ikija na matokeo mazuri utayapinga!
 
kila la kheri ktk mazungumzo yao, mwisho wa siku watulipe fedha zetu.
 
Mbona hamsemi kama walikagua na makontena?

Kama hakuna kupima upya hu mchanga,hizo wiki karibu 2 mnafanya mazungumzo gani hayo?

Haiwezekani mazungumzo yamegeuka uchunguzi?
Yaan ww unatapatapa kama joka lilikokatwa kichwa..
Ulianza kusema acacia wameenda kufungua kesi mahakaman, ukaja tena Mara hawawezi kuja Tanzania ,tena leo unaongea pumba zingne wakat mwingne jaribu kurudi nyuma maana kila siku unangea ujjnga ujinga tu...

Sijui kama kichwan mwako mna ubongo kweli
 
Mbona hamsemi kama walikagua na makontena?

Kama hakuna kupima upya hu mchanga,hizo wiki karibu 2 mnafanya mazungumzo gani hayo?

Haiwezekani mazungumzo yamegeuka uchunguzi?
Hivi wewe hauna ndugu yoyote anayekupenda akakwambia laivu kwa roho safi kuwa wewe ni mjinga?? Yawezekana haujui kuwa wewe ni mjinga, na hilo ni tatizo lingine!
Kama ndugu zako hawakwambii ukweli, basi jua hauna ndugu!
 
Tume yetu imekuwa siri kubwa sana kwa nini, mbona tume zote mbili za uchunguzi zilitangazwa hadharani na zikaapishwa hadharani kwa nini hii inafanywa siri kubwa, nimeanza kukosa imani na hiyo tume yetu
Ni kwa sababu wanajua kuwa kuna watu wenye roho mbaya kama Wewe kwa kuwa watu hao kama wewe hamfurahii tukipata bali mtafurahi sana tukikosa vyote ili moats nafsi ya kumsema Rais.
Magufuli ameshawafunga goli la kisigino kwa hatua zote alizochukua tangu kuzuiliwa makontena. Endeleeni kupiga soga mnakuja kugutuka 2020 yeye anapiga mzigo nyie longolongo.
 
Mbona hamsemi kama walikagua na makontena?

Kama hakuna kupima upya hu mchanga,hizo wiki karibu 2 mnafanya mazungumzo gani hayo?

Haiwezekani mazungumzo yamegeuka uchunguzi?
Hivi unadhani hawatapima tena! Lazima watayafungua na kupima. Lakini kwanini mambo haya wewe na TL yanawauma? Kuna maslahi yepi mnayoyalinda?
 
Kuna jambo hapa haliko sawa. Something very sinister on Tanzania side negotiation team.Prof. Ka-bundi is just a lawyer by profession and not an EXPERT ON MINING INDUSTRY!! Hapa ndiko kuna shida!!. Kujua sheria siyo kujua kila kitu including MADINI yetu. Nachelea kusema kwamba timu ya Tanzania lazima itatolewa knock-out mapema asubuhi.

Si tunajua Magufuli mwenyewe kesha waita Mawaziri wake ni WAPUMBAVU!
That being the case nothing good will come out from FOOLS!!!
Hivi mna nini? Ulimsikia cheyo TBC alisema katika kamati hiyo kuna hata wapinzani. Subira yavuta heri, haraka za nini?
 
Kama ktk tume kafahamika prof kabudi na tayari watu washaanza kumponda kuwa hafai kuwa chair,vipi hao wengine wangefahamika ingekuaje?

Yani wanaficha majina kwa sababu watapondwa? Kwani kuna ubaya gani wakipondwa?

Kwenye demokrasi kukosoana na kupondana ndio ada inayotakiwa.

Kuna watu yani wako so very stone age.
 
Elewa baadhi ya Watanzani ni wanatumiwa kwa njia mbalimbali kuvuruga Watanzania wazalendo na wapendamaendeleo. Hivyo hao ni wasaliti wa luogopwa kama ukoma
Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa wapo wanao tumiwa. Wakati mimi naamini kuwa kinacho endelea ni masahihisho ya makosa, wahusika wanajitanabaisha kama hawakuwahi kukosea!
 
Yani wanaficha majina kwa sababu watapondwa? Kwani kuna ubaya gani wakipondwa?

Kwenye demokrasi kukosoana na kupondana ndio ada inayotakiwa.

Kuna watu yani wako so very stone age.
Waache waendelee kuificha maana watanzania ni wajuaji balaa.

posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum
 
Hivi mna nini? Ulimsikia cheyo TBC alisema katika kamati hiyo kuna hata wapinzani. Subira yavuta heri, haraka za nini?

Huwa siangaliagi ujinga wa TBC mzee. Siwezi kuangalia kituo cha TV kinachowabagua Watanzania wenzetu simply kwa vile ni wapinzani kwa kuwa treat kama vile ni wakimbizi katika nchi yao!! N a kama kuna WAPINZANI kwenye hiyo Kamati ya Prof. Ka-bundi basi ni type ya kina Pro-fedha. Lipumba-f anayetumiwa na CCM kuua CUF ya Maalim Seifu.
 
Back
Top Bottom