Government and Barrick Visit Mining Sites during their Talks

Government and Barrick Visit Mining Sites during their Talks

Ni jambo la msingi,lakin linafanywa kipumbavu
Wewe ulitaka lifanyweje!!?tunavichwa mil 45+ unataka wote tuwe na same way kweliii!??what matters ni wote kufika pale Tz inatakiwa kufika kwa njia yoyote ile...tatizo ni baadhi ya watu kutaka kujitafutia credit kwa vitu sio....
 
Kama ktk tume kafahamika prof kabudi na tayari watu washaanza kumponda kuwa hafai kuwa chair,vipi hao wengine wangefahamika ingekuaje?

posti fromu Nokia kitochi yuzingi jamii forum

Kuna jambo hapa haliko sawa. Something very sinister on Tanzania side negotiation team.Prof. Ka-bundi is just a lawyer by profession and not an EXPERT ON MINING INDUSTRY!! Hapa ndiko kuna shida!!. Kujua sheria siyo kujua kila kitu including MADINI yetu. Nachelea kusema kwamba timu ya Tanzania lazima itatolewa knock-out mapema asubuhi.

Si tunajua Magufuli mwenyewe kesha waita Mawaziri wake ni WAPUMBAVU!
That being the case nothing good will come out from FOOLS!!!
 
Uchunguzi ulikuwa umebase kweny theory zaidi..sasa wanafundishwa practical..acha maprof wapewe darasa sio unatoka udsm unaenda kutoa report bila kuwa na experience ya biashara hiyo....acha wafundishwe mambo black minded people
 
Wewe ulitaka lifanyweje!!?tunavichwa mil 45+ unataka wote tuwe na same way kweliii!??what matters ni wote kufika pale Tz inatakiwa kufika kwa njia yoyote ile...tatizo ni baadhi ya watu kutaka kujitafutia credit kwa vitu sio....
Mkuu,naomba nielewe kuwa mi ni mzalendo,tena mzalendo halisi.

Swala la kulinda rasilimali zetu,ni letu sote haihalishi utofauti wa imani zetu,iwe ki dini au ki siasa.

Nia ya Raisi wetu ni njema,ila kuna tatizo mahala,,,linaweza kuwa la kibinafi(kutopenda kushaurika) au kimfumo(washauri hawamshauri sawa sawa).

Unapo tatua matatizo ya kitaifa,fata ushauri wa misimamo ya watanzani wote,usibague kisa chama flani au mtu fulani kasema,kwa sababu humpendi au unaona atapata umaarufu unaamua kupuuza.

TULISHAURIANA KUWA ZIPO NJIA SAHIHI YA KULITATIA HILI SWALA.
Limepuuzwa,yaliyo semwa yametokea,sasa aibu watu wanajifungia ndani.

Jiulize,baada ya kikao,wakashindwa kuafikiana hii aibu huoni itakuwa ya moja kwa moja kwa serikali,kuliko hata hapo awali ilipo elekezwa kwa wakina chenge?

Tujifunze kusikiliza wenzetu,na ushauri wao kwa maslahi ya nchi yetu.

Kulikuwa na haja gani ya kutuambia tumeibiwa,alafu muna hitisha bunge kurekebisha sheria,na kuishia kuongeza 2% na kuwaachia 94%?

Nawalaumu sana wanao mshauri raisi.
 
Mbona hamsemi kama walikagua na makontena?

Kama hakuna kupima upya hu mchanga,hizo wiki karibu 2 mnafanya mazungumzo gani hayo?

Haiwezekani mazungumzo yamegeuka uchunguzi?
Week mbili ni nyingi! No wonder tulisaini mikataba mibovu!
 
ikiwa upokeaji wa report ulikuwa wa Mbwebwe na ndelemo na vifijo iweje, kujua tu wanaotuwakilisha katika hayo mazungumzo liwe fumbo swali

Hiyo kamati haijaundwa na wazawa?
ikiwa wazawa wameunda hiyo kamati tatizo nini tukiambiwa watanzania

[HASHTAG]#nakwendazimvabwe[/HASHTAG]
 
Mkuu,naomba nielewe kuwa mi ni mzalendo,tena mzalendo halisi.

Swala la kulinda rasilimali zetu,ni letu sote haihalishi utofauti wa imani zetu,iwe ki dini au ki siasa.

Nia ya Raisi wetu ni njema,ila kuna tatizo mahala,,,linaweza kuwa la kibinafi(kutopenda kushaurika) au kimfumo(washauri hawamshauri sawa sawa).

Unapo tatua matatizo ya kitaifa,fata ushauri wa misimamo ya watanzani wote,usibague kisa chama flani au mtu fulani kasema,kwa sababu humpendi au unaona atapata umaarufu unaamua kupuuza.

TULISHAURIANA KUWA ZIPO NJIA SAHIHI YA KULITATIA HILI SWALA.
Limepuuzwa,yaliyo semwa yametokea,sasa aibu watu wanajifungia ndani.

Jiulize,baada ya kikao,wakashindwa kuafikiana hii aibu huoni itakuwa ya moja kwa moja kwa serikali,kuliko hata hapo awali ilipo elekezwa kwa wakina chenge?

Tujifunze kusikiliza wenzetu,na ushauri wao kwa maslahi ya nchi yetu.

Kulikuwa na haja gani ya kutuambia tumeibiwa,alafu muna hitisha bunge kurekebisha sheria,na kuishia kuongeza 2% na kuwaachia 94%?

Nawalaumu sana wanao mshauri raisi.
Kama hujui si uulize?mzalendo kwa hisani ya mafisadi!
 
Tume yetu imekuwa siri kubwa sana kwa nini, mbona tume zote mbili za uchunguzi zilitangazwa hadharani na zikaapishwa hadharani kwa nini hii inafanywa siri kubwa, nimeanza kukosa imani na hiyo tume yetu
Kwa kifupi barrick na Accacia wapo kwenye soko la hisa. Kuweka mazungumzo wazi yanaweza kushusha bei ya hisa kwa asilimia kubwa.
 
Mbona hamsemi kama walikagua na makontena?

Kama hakuna kupima upya hu mchanga,hizo wiki karibu 2 mnafanya mazungumzo gani hayo?

Haiwezekani mazungumzo yamegeuka uchunguzi?
Mkuu una hasira sana,hata zile thread zako za ACACIA zimeota mbawa hatuzioni tena siku hizi waulize kulikoni mbona hawakupi tena habari?
 
Mawaziri wa serikali yangu ni wapumbavu. hiyo ni nukuu tu.

Wanasiasa baana .....ujuaji mwiiiiingiiiiiiii
 
Back
Top Bottom