Government and Barrick Visit Mining Sites during their Talks

Huwa siangaliagi ujinga wa TBC mzee. Siwezi kuangalia kituo cha TV kinachowabagua Watanzania wenzetu simply kwa vile ni wapinzani kwa kuwa treat kama vile ni wakimbizi katika nchi yao!! N a kama kuna WAPINZANI kwenye hiyo Kamati ya Prof. Ka-bundi basi ni type ya kina Pro-fedha. Lipumba-f anayetumiwa na CCM kuua CUF ya Maalim Seifu.
Msaliti wa watz
 
majadiliano ni wao walipe trilion zetu,sie tumejiridhisha wanatuiibia. win win situation ni wizi mwingine wa kutudhurumu tunachowadai. Sitarajii serikali iseme tumewasamehe sehemu ya trilioni zetu.
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa wapo wanao tumiwa. Wakati mimi naamini kuwa kinacho endelea ni masahihisho ya makosa, wahusika wanajitanabaisha kama hawakuwahi kukosea!

Nakubaliana na wewe kwa kiasi kwamba nia ni kurekebisha maovu ya Acacia lakini pia uovu wa waliofanya watu wetu kwa kusaliti TAIFA baada ya kuhongwa
 
Back
Top Bottom