GOT

GOT

simpowtz

Member
Joined
Jul 23, 2016
Posts
10
Reaction score
3
Hii movie sijaielewa nimesikia watu wengi wakiizungumzia tweeter anaeifahamu basi aniweke apa
 
Nakubali ila kwenye kuta kujua jambo usijifanye kila kitu unakifahamu mwenyew ongea mbele za watu uchekwe than ukifahamishwa pale hautosahau tena kwa aibu ulioipata
 
Unaweza kuingia Google na bado ukawa hujaisanukia mzee kwanza naanzaje ukitafuta GOT ikiwa hii ni kifupi chake tu bado utakuwa ujaipata in deep
 
Back
Top Bottom