Hii nyimbo sikujua kwamba ni gospel song, nyimbo ya need you to reign ni kali vibaya kiasi kwamba naiona ikisikilizwa 20 years ahead na vijana wapenda muziki mzuri watakaokuwepo enzi hizo.
Sikuwahi kumfahamu ila nimemjulia katika hio nyimbo. Ni muunganiko wa beat ya ukweli na vocals za hatari sana kupata kusikia!
Naombeni mnifahamishe je ni mtanzania ama?