Gospel Music Manager/Management

Gospel Music Manager/Management

Kalamu Nzito

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2015
Posts
376
Reaction score
850
Habari wadau,
Nina kiu ya kuwekeza kwenye muziki wa Injili lakini sina pa kuanzia. Nina maono ambayo naamini ninaweza kumshawishi mwekezaji tukafanya kitu kwa mkataba maalumu.
Nimeandaa album kamili yenye nyimbo zaidi ya 12. Bado nipo kwenye tafakuri aidha nianze na album au EP (Extended Playlist). Lakini hilo litajulikana nikiwezeshwa financially.
Atakayeguswa tafadhali naomba tuwasiliane kwa email moderncentury5@gmail.com
Asante!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom