Gospel kibiashara

Gospel kibiashara

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
748
Reaction score
367
Wadau mimi kwa majina ni Matendo Andrew
ni Gospel singer.lakini hapa nimekuja kama Manager
wa Matendo Andrew. nahitaji mtu au kampuni nifanye nayo
kazi, kazi ni hii hapa. nimesha record album yenye nyimbo 18.
audio na video album ina nyimbo 8. nipo na rafiki yangu fulani
ambae nilimshawishi kufanya nae biashara hii yaani mimi nilitoa mawazo
ya hii biashara na yeye nikamshawishi awekeze pesa, tumefanikiwa kurecord
kama nilivyo sema hapo juu, lakini nilipo mshawishi tuandike mkataba
wa makubaliano juu ya ku share huku ali sua sua mpaka leo
sijui kwa nini, nyimbo zipo radio na tv, baadhi, na cossota nimesha sajili,
nikaandaa bajeji ya uzinduzi na kopi za kuanzia biashara yetu nikampa
tukakubaliana tutazindua kabla ya pasaka, lakini naona siku zimeisha na hakuna
chochote kinacho endelea, japo napata tetesi kwamba hari yake kifedha sio nzuri.
kwa sasa.sasa wadau mimi hii ndio nilisha ianza na kwamba itakua ndio kazi yangu
japo nina proffesion nyingine, nashindwa kuendelea mbele kwasababu yeye ndio
alikua muwezeshaji wa mambo yote ili mwisho wa siku tufanye biashara hii vizuri
na kwa faida najua mnajua ilivyo na maslai ikifanywa vyema. sasa mimi nahisi huyu
rafiki yangu alikua ananisaidia tuu kuinua huduma yangu ya uimbaji na sio na yeye
kuhitaji kutengeneza faida. sasa nimepata wazo la kutafuta mtu mzoefu wa biashara
hii, tukutane akague bidhaa hii, aangalie jinsi gani itaingia sokoni halafu mimi nita mkutanisha
na mwekezaji wa mwanzo ili wawe wame share bidhaa iende sokoni, na tutapanga jinsi gani
biashara itafanyika. kwa kifupi saana ndio hivyo, angalia video mbili youtube kwa kuandika
Matendo Andrew usinipite na Matendo Andrew Ndani ya yesu, au tembelea http://matendomgeni.blogspot.com/
Usikilize baadhi ya nyimbo au nicheck whatsup kwa 0759 83 93 10. nikutumie audio. na tuwasiliane zaidi kwa
0714 04 50 80. ASANTE.






 

Attachments

  • 1911709_617854941634009_1547638160_n.jpg
    1911709_617854941634009_1547638160_n.jpg
    41.8 KB · Views: 57
Back
Top Bottom