Kigoma 2015
JF-Expert Member
- Sep 19, 2011
- 371
- 93
Hongera mkuu kwa kutujuza. Ndiyo tatizo la wabunge waliochakachua kura. Kumbe alikuwa anawasilisha mawazo kutoka kwenye masaburi yake!!!!!! Magamba bwan!!Blandes MP heshima kwako,
Mimi naishi ktk kijiji cha NYAKAKIKA, tarafa ya NYABIONZA ktk jimbo la KARAGWE.
Naomba nisimame kwa niaba ya wananchi wa kata, tarafa pia Jimbo langu kua hayo uliyoyazungumza leo bungeni ni ya KWAKO binafsi na CCM yako.
Ni lini ulipita jimboni kukusanya maoni juu ya rasimu ya katiba? Wacha Uongo na huo ni Unafiki kuwa eti wananchi wako wa KARAGWE wamekutuma, labda familia yako ndo imekutuma.
Umetudhalilisha sana kuwa sisi hatuna akili kama wewe na CCM yako.
Naomba kuwaambia wana JF kuwa sisi KARAGWE hatujamtuma kama alivyosema yeye.
Fanyeni jambo moja la msingi. Kama kweli ameyasema haya, mwandikieni barua ya kumuita aje jimboni kuwepo na mkutano wa hadhara kisha muulizeni ni lini alikusanya hayo maoni kwa wanakaragwe. Yawezekana alitumia wenyeviti kwa siri bila watu kujua.Blandes MP heshima kwako,
Mimi naishi ktk kijiji cha NYAKAKIKA, tarafa ya NYABIONZA ktk jimbo la KARAGWE.
Naomba nisimame kwa niaba ya wananchi wa kata, tarafa pia Jimbo langu kua hayo uliyoyazungumza leo bungeni ni ya KWAKO binafsi na CCM yako.
Ni lini ulipita jimboni kukusanya maoni juu ya rasimu ya katiba? Wacha Uongo na huo ni Unafiki kuwa eti wananchi wako wa KARAGWE wamekutuma, labda familia yako ndo imekutuma.
Umetudhalilisha sana kuwa sisi hatuna akili kama wewe na CCM yako.
Naomba kuwaambia wana JF kuwa sisi KARAGWE hatujamtuma kama alivyosema yeye.
Fanyeni jambo moja la msingi. Kama kweli ameyasema haya, mwandikieni barua ya kumuita aje jimboni kuwepo na mkutano wa hadhara kisha muulizeni ni lini alikusanya hayo maoni kwa wanakaragwe. Yawezekana alitumia wenyeviti kwa siri bila watu kujua.
Blandes MP heshima kwako,
Mimi naishi ktk kijiji cha NYAKAKIKA, tarafa ya NYABIONZA ktk jimbo la KARAGWE.
Naomba nisimame kwa niaba ya wananchi wa kata, tarafa pia Jimbo langu kua hayo uliyoyazungumza leo bungeni ni ya KWAKO binafsi na CCM yako.
Ni lini ulipita jimboni kukusanya maoni juu ya rasimu ya katiba? Wacha Uongo na huo ni Unafiki kuwa eti wananchi wako wa KARAGWE wamekutuma, labda familia yako ndo imekutuma.
Umetudhalilisha sana kuwa sisi hatuna akili kama wewe na CCM yako.
Naomba kuwaambia wana JF kuwa sisi KARAGWE hatujamtuma kama alivyosema yeye.
Mhh! Hata mimi nakuunga mkono, niko mbali na tv na naomba mwenye data atujuze.Nina siku kama nne sipati muda wakuangalia Bunge.Wanajamvi nawaombeni kunijuza mbunge Jason Rweikiza BK Vijijini amechangia nini kuhusu katiba.