Wakati wa-Tanzania bado wapo kwenye majonzi na masikitiko kwa ajili ya roho za watu zilizopopotea, ndugu yetu huyu yeye anawaza kuhusu mabillion ya pesa yaliyopotea, pesa pesa pesa pesa. Na hii ni dalili tosha kuwa watu wenye akili ya kuendelea kujenga magorofa yanayofanana na hili bado wapo, mmojawapo akiwa huyu ndugu yangu, pesa kwanza, uhai wa wa_tanzania baadaye...., aiseee kuna watu wana ubongo aiseee!Namhurumia mwenye nalo. Sijui hapo kazika bilioni ngapi, na sijui kama huwa kuna utaratibu wa kuwa na bima kabla ya kuanza kulijenga ghorofa kama hilo. Na zaidi ya yote sijui kama mkandarasi wa hilo jengo alisaini mkataba gani na mwenye nalo? Je mkandaraasi atakuwa na uwezo wa kulipa gharama zote za hilo ghorofa?
Je ni nani aliyefanya uhuni hapa, ni mwenye ghorofa alikuwa anajaribu kubana matumizi au ni mkandarasi alikuwa anaiba cement na nondo? Kwa kweli nikiliangalia hili jambo hapa, naona lina msululu mrefu wa watu wanaotakiwa kuishi selo.
Ulitaka niwahurumie waliokufa ilihali washakufa? Au ukiwahurumia wanaamuka? Acheni kudeal na impossibles bwana!Wakati wa-Tanzania bado wapo kwenye majonzi na masikitiko kwa ajili ya roho za watu zilizopopotea, ndugu yetu huyu yeye anawaza kuhusu mabillion ya pesa yaliyopotea, pesa pesa pesa pesa. Na hii ni dalili tosha kuwa watu wenye akili ya kuendelea kujenga magorofa yanayofanana na hili bado wapo, mmojawapo akiwa huyu ndugu yangu, pesa kwanza, uhai wa wa_tanzania baadaye...., aiseee kuna watu wana ubongo aiseee!
Wenye magorofa wengine wakati wa ujenzi wakiambiwa gharama ni 6B, utawasikia mi nnazo 2B we fanya fanya mambobinafsi sidhani kama mwenye ghorofa anapaswa kushitakiwa, maana kaajiri maengenia na washauri juu, kama hiyo haitoshi kuna wakaguzi wa majengo wapo wanalipwa hela na serikali
mkandarasi alishajulikana ni diwani na inajulikana kabisa chama chake ni cha 'mlengo' gani, je inawezekana mmiliki pia ni wa mlengo huo huo? Kwamba walikutana kwenye vikao vyao na wakakubaliana bila shaka na pesa zikipatikana kwa 'mlengo' huo huo.Umenena vyema.....yawezekana mmiliki alimwambia mkandarasi atumie elimu na ujuzi wake sababu budget yake iko finyu......au mkandarasi kaiba malighafi mana tanzania magumashi mengi.......
tunaogopa sana gharama na kujali quantity badala ya kuangalia quality.Wenye magorofa wengine wakati wa ujenzi wakiambiwa gharama ni 6B, utawasikia mi nnazo 2B we fanya fanya mambo
Hata mimi nimeona kama wewe, hata ukiangalia kingo za floors zake zimepishana kidoogo, haziko katika mtiririko mmoja.
R.I.P lakini mmiliki naye awajibishwe....mkandarasi alishajulikana ni diwani na inajulikana kabisa chama chake ni cha 'mlengo' gani, je inawezekana mmiliki pia ni wa mlengo huo huo? Kwamba walikutana kwenye vikao vyao na wakakubaliana bila shaka na pesa zikipatikana kwa 'mlengo' huo huo.
Kwa hiyo muhimu hapa ni kuwasikitikia wahanga lakini kwa mmiliki na mkandarasi ni ile hadithi ya "aliyeuza katoa dhahabu badia na aliyenunua katoa pesa bandia" ...wazoefu wanasema "ngoma droo".
Achana na nchi ya Tanzania. R.I.P walioaga dunia kwa rushwa hizi
Toba! Natamani nikufahamu baba yangu!Ulitaka niwahurumie waliokufa ilihali washakufa? Au ukiwahurumia wanaamuka? Acheni kudeal na impossibles bwana!
Inapendeza kwamba na wewe shabiki namba moja wa CCM leo umeamua kuacha unafiki na kusema ukweli.