Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,683
- 272,542
aliyekudanganya kwamba mwakalinga kaja kugombea ubunge ni nani ? halafu zaidi ya robo 3 ya kura alizopata mwakyembe ni magumashi matupu ! kadi mpya zimegawiwa kwa kila mtu , NJEMUKE , ABULISYA UBWALWA NA WENGINE CHUNGU MBOVU , wakati ukifika tutaweka kila kitu wazi , bila faulo mwakyembe asingeshinda maoni , muulize kiongozi wako hunter mwakifuna , anajua kila kitu .Umeishamtosa mtu wako uliyekuwa unampigia kampeni sikuzote humu?kweli Chadema pesa mbele kuliko misingi.
sasa unamwambia kiongozi gani wakati viongozi wako wote washavurugwa na mafuriko,wasubiri goli lao la mikono kama hawatapata ukoma wa vidole,UKAWA mchezojamani viongozi wa juu ccm itisheni mkutano wa wanachama wa dharura il;i kukinusuru chama hali ni tete chama cha babu zetu na bibi zetu chaangamia
aliyekudanganya kwamba mwakalinga kaja kugombea ubunge ni nani ? halafu zaidi ya robo 3 ya kura alizopata mwakyembe ni magumashi matupu ! kadi mpya zimegawiwa kwa kila mtu , NJEMUKE , ABULISYA UBWALWA NA WENGINE CHUNGU MBOVU , wakati ukifika tutaweka kila kitu wazi , bila faulo mwakyembe asingeshinda maoni , muulize kiongozi wako hunter mwakifuna , anajua kila kitu .
huyu ndiye mtu aliyediriki kuwaunganisha wana kyela wote , ngyekye , bujonde , ikolo , kajunjumele , ngana , isaki , boda , matema , ipinda , njugilo , busale , kapamisya , mbako , kilasilo nk kwa kitu kinachoitwa kyela fm.Ni vizuri pia kupata wasifu wa huyu mtu; je, anafahamika kiasi cha kuwa "breaking news". Alikuwa na uzito gani kisiasa na kiuongozi? Na ataongeza thamani gani CHADEMA wakati huu? Sidhani kila (mtu binafsi) anayehamia CHADEMA ni "habari".
uongo utakusaidia nini mkuu ?Hivi bado hujui kuwa baada ya kupewa nafasi ya kugombea ubunge ndio kaenda kuchukua kadi ya Chadema?akina Mwamanyaki wenu pamoja na kuhangaika na chama na kugombea kura za maoni hawajafika bei, Mwakalinga kaenda kuongea vizuri basi kapewa hiyo nafasi japo hakuwepo kwenye uteuzi wa awali uliofanywa kwa kura za maoni.
Nyie vijana angaikeni tu na chama,pigweni mabomu, lakini muda ukifika mie mwenyewe ninayekusema kila siku hapa kama ningekatwa CCM basi ningekuja huko kununua nafasi Chadema na wewe na akina ChademaKwanza hapa ata kama mlishinda kura za maoni mngekatwa tu ili nipewe mie.Ndio Chadema ya sasa, kupata ugombea ni pesa yako tu.
nabado tunawasubilia kikwete, kinana name nape
Haa ha ha unauliza kirungu polisi?malaya wa kisiasa uwa wanahama baada ya kukatwa;
Akitangaza matokeo ya uchaguzi huo, Katibu wa CCM Wilaya ya Kyela, Eva Degeleki alisema Dk Mwakyembe aliibuka mshindi kwa kujizolea kura 15,516 akifuatiwa na George Mwakalinga aliyeambulia kura 4,905.
Hivi bado hujui kuwa baada ya kupewa nafasi ya kugombea ubunge ndio kaenda kuchukua kadi ya Chadema?akina Mwamanyaki wenu pamoja na kuhangaika na chama na kugombea kura za maoni hawajafika bei, Mwakalinga kaenda kuongea vizuri basi kapewa hiyo nafasi japo hakuwepo kwenye uteuzi wa awali uliofanywa kwa kura za maoni.
Nyie vijana angaikeni tu na chama,pigweni mabomu, lakini muda ukifika mie mwenyewe ninayekusema kila siku hapa kama ningekatwa CCM basi ningekuja huko kununua nafasi Chadema na wewe na akina ChademaKwanza hapa ata kama mlishinda kura za maoni mngekatwa tu ili nipewe mie.Ndio Chadema ya sasa, kupata ugombea ni pesa yako tu.
Na mm unahamia CCM, itumeni basi.
Kutoka Mbeya, George Mwakalinga aliyekuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Mwakyembe la Kyela mkoani Mbeya, amehamia CHADEMA Muda sio mrefu.
mwenyekiti wenu alisema tayari mnazo Kura 6000 kutoka kwa wanachama wenu sasa akawataka mtafute zingine toka kwetu tusio na vyama.sasa sijui na amepewa jukumu la kusutract ili atupe mrejesho kwa now how much do have?yani watu kuhamia upande wenu haimaanishi ndio ushindi au ndio kukubalika. Angalieni watu mnaowapokea kuanzia mgombea wenu wa urais ni watu wa namna gani katika jamii?. Wengi wao ni mafisadi na walioshindwa katika kura za maoni na kukimbilia kwenu.
Kutoka Mbeya, George Mwakalinga aliyekuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Mwakyembe la Kyela mkoani Mbeya, amehamia CHADEMA Muda sio mrefu.
Safi Sana mwaka huu lazima kieleweke
[Mafuriko hayuzuiwi kwa mkono by Edward Lowassa]
Umeishamtosa mtu wako uliyekuwa unampigia kampeni sikuzote humu?kweli Chadema pesa mbele kuliko misingi.
Kutoka Mbeya, George Mwakalinga aliyekuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Mwakyembe la Kyela mkoani Mbeya, amehamia CHADEMA Muda sio mrefu.
MASONJO Chadema sio wajinga ,wamefanya utafiti wa hali ya juu kuhusu ili.Mwanyamaki sio Mnyakyusa kwa watu wa Kyela hawezi kupata kura kule vijijini sana sana atapata Kyela mjini ,Ipinda Mjini na Kule Ikombe.Mwakyembe tayari walianza kueneza Ukabila sasa watapigwa shoko.Hiyo number kura kwenye kura za maoni ni feki.wanachama wa ccm Kyela hawafiki ata elfu 10 sasa walipiga eti watu elfu 30 waliwatoa wapi?Nilikuwepo kura za maoni kyela.kulikuwa hakuna watu kabisa kwenye vituo,je hao elfu 30 walipigia wapi hizo kura.
mwenyekiti wenu alisema tayari mnazo Kura 6000 kutoka kwa wanachama wenu sasa akawataka mtafute zingine toka kwetu tusio na vyama.sasa sijui na amepewa jukumu la kusutract ili atupe mrejesho kwa now how much do have?
Ccm ilikuwepo sasa haipo tena
jamani viongozi wa juu ccm itisheni mkutano wa wanachama wa dharura il;i kukinusuru chama hali ni tete chama cha babu zetu na bibi zetu chaangamia