Hao wanaohama hawajuwi kuwa wananchi wanawashangaa kuwa wamewakataa wakiwa ccm je watawakubali wakiwa chadema? Ha ha ha mnazidi kujionesha rangi yenu halisi.wananchi hawageuzwi kama chapati
Lazima mjiulize hao wanaohama ni kwa maslahi ya wananchi au ya kibinafsi? Kumbuka wote waliohama wakiongozwa na EL wanatoa sababu za kuwa hawakutendewa haki katika kupata madaraka, hakuna aliyesema kahama ili kusaidia wananchi.
Lazima ushike madaraka ili uweze kuwatumikia wananchi vinginevyo haina tofauti na baba yako yupo nyumbani tu anawasaidiaje wananchi hivyo lazima utafute madaraka ili nawe ule na kusaidia wengine angalia mfano nzuri viongozi Wa dini sadaka za nn? Tumia akiri yako kufikiri usiwekewe maneno mdomoni