iphone se 2
Member
- May 25, 2018
- 72
- 57
jana google wametoa toleo lao la google pixel 3 likiwa limeiga kutoka apple likiwa notch je watashindana na apple ?
Google Pixel 3 - Full phone specifications
Google Pixel 3 - Full phone specifications
Kuongezea notch ilianza kwa Sharp, essential alikuwa wa pili na Apple akawa wa tatu.Notch ilianza kutumika kwenye essential PH-1, apple wakaitumia kwenye iphone x, huawei wakaitumia kwenye p20 na wengine wengi ma wao wanatumia. Teknolojia ndio inatupeleka uko kutumia notch na high end phones zote zitatumia notch.
Mimi pia sipendi notch kusema kweli.3XL ndo naona ina notch...sipend haya manotch,,alaf chaajabu manufacture wakubwa nao wameanza kuiga.....ila sim zao ziko poa sana...pure stock android
Mimi pia sipendi notch kusema kweli.
mimi mwenyewe najiuliza norch ndo kitu gani?Norch ndo nini kwani
Norch ndo nini kwani
WAPOHivi hizi simu za google pixel hapa bongo kuna mtu anayo kweli
na kifupi zinaleta muonekano mbaya tena sanaNotch ilianza kutumika kwenye essential PH-1, apple wakaitumia kwenye iphone x, huawei wakaitumia kwenye p20 na wengine wengi ma wao wanatumia. Teknolojia ndio inatupeleka uko kutumia notch na high end phones zote zitatumia notch.
na kifupi zinaleta muonekano mbaya tena sana
Angalia hizi simu mbili kwa juu utaona zina maumbo tofauti, hiyo ya kwanza ndiyo simu inayotumia technologia ya notch kwa maana ya kwamba nafasi iliyopo juu imetumiwa karibia yote kuwa ni screen!
CC: pandagichiza & masafi
View attachment 893851View attachment 893852
Mpaka simu yao mpya iliotoka wiki hii A9 haina notch, hope wataendelea hivyo kutupa alternative.Samsung sijui nayeye atayaleta..dah