guys tuacheni uvivu kuna problems nyingine uki search google unapata ufumbuzi fasta sio lazima kuja humu kuuliza! maana thread za misaada siku hizi ni nyingi mno tofauti na mwanzo ambapo tulikua tukipata maujuzi ya IT humu ndani kwa sana!! Tuwe wepesi kuumiza vichwa wenyewe mpaka itakaposhindikana ndo ujaribu hapa!! Mfano mtu anauliza wapi atapata maybe IDM crack au virtual dj keys!! Dah..!! Ila ni mtazamo tu.