Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,280
- 44,418
katika uzinduzi wa nexus mpya leo head wa android sundar pichai alitangaza kua playstore imefikisha application million 1 so list inakaa kama hv
1. android 1,000,000+
2. ios 900,000+
3. wp 165,000+
4. bb10 100,000+
wewe unaonaje?
Hapo kwenye Android ni fujo kama uswahilini vile. Zipo Apps nzuri lakini kunamataka taka ya kumwaga
BB na iOs nawaaminia Apps zao viwango
bb sawa tena bb ya zamani sio hii mpya ila ios takataka pia zipo sku hz japo si nyingi kama androidHapo kwenye Android ni fujo kama uswahilini vile. Zipo Apps nzuri lakini kunamataka taka ya kumwaga
BB na iOs nawaaminia Apps zao viwango
katika uzinduzi wa nexus mpya leo head wa android sundar pichai alitangaza kua playstore imefikisha application million 1 so list inakaa kama hv
1. android 1,000,000+
2. ios 900,000+
3. wp 165,000+
4. bb10 100,000+
wewe unaonaje?
apps nikifupi cha neno applications ambazo hufanya kazi katika simu.apps ndo kitu gani?
Me naona huu ni upuuzi tupu kutoka Google 1Mil apps just kupata sifa tu ukiangalia kwa makini utaona valuable apps hazizidi hata 400k pia ikumbukwe kua Themes nazo zinahesabiwa kama ni apps, ukiangalia
Go Launcher ina themes ngapi?
Go SMS ina themes ngapi?
Apollo Music player nayo ina themes ngapi?
bado kuna themes za custom roms ngapi??
pia okumbukwe live wallpaper nazo ni apps,
pia kuna app moja ina version mbili ya free na pro.
alafu wanatwambia 1Million apps in Play Store. kazi kwelikweli
mkuu kuna kipindi ulisema android wanondoa app matakataka kwenye playstore!,hasa haya mngine yanatokezea wapi tena?bb sawa tena bb ya zamani sio hii mpya ila ios takataka pia zipo sku hz japo si nyingi kama android
mkuu kuna kipindi ulisema android wanondoa app matakataka kwenye playstore!,hasa haya mngine yanatokezea wapi tena?
Nakuomba uthbtishe kwa mifano mkuu,ucje ukawa umemeza huko
BASI KAMA HIVYO GOOGLE KAZI WANAYO!!! matakataka hayatoisha tatizo watu wengi wanapenda kudownload hata kama mtu hajui hii ni app gani na inafanya kazi gani ilimradi akishaona jina maarufu au ambalo aalishalisikia yeye anadownload tu,wakti kuna vitu vya kuangalikimojawapo ni namba za downloads na hiyo app imekuwa ranked nyota ngapi!!!yap na juzi juzi walikata apps 60,000 kwa mpigo lakini still takataka hazikosekan watu wanataka hela.
mfano ngoja nikupe experience yangu ya symbian na android. kwenye symbian kuna app inaitwa flipfont ipo moja tu unainstall font kwenye hio app then unaaply kwenye simu. hii app ina font nyingi sana huwez hata kuzihesabu haraka haraka.
kwenye android mambo ni tofauti font ndio application yani unakuta kapack ka font 5 ni apps hiyo tena za developer mmoja. unakuta developer ana app 100 zote ni font wakati angeweza kufanya iwe app moja.
pia taka taka zinakuja pale kitu kinapokua hakipo store. mfano search lord of the ring (hakuna game lake store) utaona kuna upuuz wa kutosha unakuja.
na hata ukisearch kitu maarufu kama asphalt 5,6 (adrenaline),7(heat) app original inakuja juu halafu chini utaona viapp vya ajabu ajabu sjui asphalt cheats ukidownload ukiopen hamna kitu.
mengine kayataja ningar
-wanacount trial na ya kulipia separate (wakati ni moja)
-live walpaper na themes wanahesabu kama apps
Hii ap wanakuambia kwamba inacharge simu kwa kutumia solar na wengi wamedanganywa hiyo ila in reality ni uongo haicharge kuthibitisha hilo fungua app yao nenda setting alfu ingia help watakuandikia ujumbe kwamba hii ni fake app!!! dont waste your timemf app ya solar charger haifanyi kazi
Hii ap wanakuambia kwamba inacharge simu kwa kutumia solar na wengi wamedanganywa hiyo ila in reality ni uongo haicharge kuthibitisha hilo fungua app yao nenda setting alfu ingia help watakuandikia ujumbe kwamba hii ni fake app!!! dont waste your time
haya ndio yanaitwa makorokoro alafu mtu unapoteza muda wako na vi mb vyako bya kuungaunga kudownload upuuzi huu!!Hahaaaaa Hapo Umenichekesha Sana
Ha ha haaa!!! Hadi BB imepitwa na Windows Phone? Ni balaa hili.
bb mpya mkuu imetoka mwaka huu mwanzoni. zote bb na windows phone zinafanya vizuri maana hazijasherehekea hata birthday moda ila zimevuka laki 1
Kwani BB si ni blackberry? Au mimi sijaelewa?