Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,320
Reaction score
2,686


Mpaka sasa ukitaka kupakua app kwenye Play Store, chaguo kuu lilikuwa Cancel na Ukicancel, download inaanza upya kutoka mwanzo.

Google inaanza kujaribu Pause & Resume kwenye downloads za Play Store! πŸ‘€ Sasa utaweza kusimamisha download ya app na kuendelea baadaye pale ilipoishia, badala ya kuanza upya.



πŸ“Ά Hii ni habari njema hasa kwa wanaotumia mobile data au wenye internet inayokatika-katika. Kipengele hiki bado kiko kwenye testing, hivyo hakijafika kwa kila mtumiaji.



Hatimaye, Play Store inaanza kusikiliza watumiaji! 😍πŸ”₯
πŸ’¬ Unaionaje hii feature tuachie maoni yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…