Niliagiza oppo kikuu online katik maelezo yao walidai nakuta google play service iko tayar installed lakn haikua hvy kwa mtu ambay anajua namna kutatua tatizo nahitaji msaada.
wakuu habr za mud huu
Niliagiza oppo kikuu online katik maelezo yao walidai nakuta google play service iko tayar installed lakn haikua hvy kwa mtu ambay anajua namna kutatua tatizo nahitji msaada
wakuu habr za mud huu
Niliagiza oppo kikuu online katik maelezo yao walidai nakuta google play service iko tayar installed lakn haikua hvy kwa mtu ambay anajua namna kutatua tatizo nahitji msaada
mkuu sio kwamb sijui kurusha kwa sim hiii imekuja na version ya china haina application za google kutokan haina google play service ambazo zinaweza kuruhus zile appk muhim za google nizipate kam too search engine sio google ni badu