Pixel 8 Pro inayojaa ndani ya 30 mins umetengeneza mwenyewe. Hata Google ukiwaambia hivyo watakukataa.Kuna watu mnapenda kubisha sana, wewe vitu unavyosoma na kudhania mm navitumia. Endelea kubisha.View attachment 2804046
Sasa unaona hiyo Pixel 6 Pro, usije jichanganya kwenda kwa Pixel 7 Pro hutopata tofauti kubwa. Labda uende kwa 8 kama unaona kuna ulazima ila kwangu mimi sitotumia Pixel tena mpaka battery & charging technology iwe sambamba na flagships nyingine.Kwangu Mimi pixel ni simu nzuri ila kwenye chaji imenibidi kuwa na Redmi kama simu ya ziada (natumia note 12 pro)
At least Redmi inanipa guarantee ya masaa 14 ikiwa on display Kwa masaa zaidi ya 11...
Kwa pixel 6 pro inanioffer masaa 5-7 tu nikiwa naitumia na kibaya zaidi inatafuna chaji hata display ikiwa off....
Kiukweli pia kuendelea na pixel naona inaniwia ngumu kidogo.. kwangu Mimi hata privacy ninayoipata kwenye REDMI (bila.kuwa na third part apps) siioni Kwa pixel....Sasa unaona hiyo Pixel 6 Pro, usije jichanganya kwenda kwa Pixel 7 Pro hutopata tofauti kubwa. Labda uende kwa 8 kama unaona kuna ulazima ila kwangu mimi sitotumia Pixel tena mpaka battery & charging technology iwe sambamba na flagships nyingine.
Inakula battery sababu optimization ya processor yake ya Tensor ni mbovu, ndio yaleyale nilisema Tensor haiwezi izidi Qualcomm Snapdragon. Na kinachonikera ni charging speed kuwa ndogo.
Pia bado UI yake haijanibamba kivile tofauti na MIUI, OneUI au ColorOS sababu ina kama restrictions. Hiyo Redmi N12P ni midrange ila ina sifa za uhakika yani hakuna kitu unatarajia ifanye na haifanyi.
Kila os inakua na format zake inazosoma, Fat32 ni universal karibia vifaa vyote vinasoma sema ina weakness ya kuwa na limitation ya kutoingia file la zaidi ya 4GB.Nna pixel 4a 5G nataka niunganishe na SSD kupitia OTG lakini kila muda inataka niformat hy SSD ili iweze kusoma, msaada wenu wakuu
CC Chief-Mkwawa
Hii ni FAT32 mana nilisoma mahali wanasema kwa format hy inakubalika kwa pixel ila Exfat ni kwa android zingineKila os inakua na format zake inazosoma, Fat32 ni universal karibia vifaa vyote vinasoma sema ina weakness ya kuwa na limitation ya kutoingia file la zaidi ya 4GB.
Exfat Android inasoma bila issue.
Format kama Ntfs mpaka uwe na software ya ku mount kikawaida inaweza isisome.
So inategemea hio ssd yako umeformat kwa njia ipi.
Fat32 inatakiwa isome, umehakiki kweli ni fat32?Hii ni FAT32 mana nilisoma mahali wanasema kwa format hy inakubalika kwa pixel ila Exfat ni kwa android zingine
Hii SSD yangu ni 2T
Yah nna uhakika ni FAT32. Hapo kwenye kumount ndo ht cjaelewaFat32 inatakiwa isome, umehakiki kweli ni fat32?
Alternative tumia 3rd party apps za kumount
1. Jaribu kutumia 3rd party file manager kumount external zako.Yah nna uhakika ni FAT32. Hapo kwenye kumount ndo ht cjaelewa
Mkuu gsmarena wameitest Google Pixel 8 Pro kwa kuichaji na charger official ya 30W ya Google.