kuna uzi humu wa GcampIpo playstore? Nitaipataje naomba link
Ipo playstore? Nitaipataje naomba link
zipo kibao mkuu chafu we tafuta wauzaji wa online zinaingia kama njugu unaowaaminiKwa bongo naweza ipataje mkuu?!
plyastore haipo maana ina configuration zake ni noma kwa nyie wengine ila google pixel unaikuta kama kwaida hain huitaji wa kudownloadIpo playstore? Nitaipataje naomba link
Hizo simu kuanzia 2mpka four zote ni used akuna mpya sijajua kariakoo zipo ila watakuuzia aje nimeziona ebay zinakwenda adi dola 70hivi kwahio 3a na 3 kama mjuzi agiza huko, pia nimeona 3xl na taobao moja inauzwa dola 108 kwa nina mpango wa kuagiza huko.Kwa bongo naweza ipataje mkuu?!
Nimeigoogle pixel6 imenipendeza vipi kuhusu chaji nataka niiagize?Hizo simu kuanzia 2mpka four zote ni used akuna mpya sijajua kariakoo zipo ila watakuuzia aje nimeziona ebay zinakwenda adi dola 70hivi kwahio 3a na 3 kama mjuzi agiza huko, pia nimeona 3xl na taobao moja inauzwa dola 108 kwa nina mpango wa kuagiza huko.
Note hazitunz chaji, ni pure android hivo udambwi dambwi mwingi hazina ila ni very smooth na ni flagship kwa baadhi
Agiza mkuu ila je bei yake unaimudu ni vimilion kadhaa mzeeNimeigoogle pixel6 imenipendeza vipi kuhusu chaji nataka niiagize?
Mimi nina 3a inakaa na chaji vizuri sana tu mbona.Hizo simu kuanzia 2mpka four zote ni used akuna mpya sijajua kariakoo zipo ila watakuuzia aje nimeziona ebay zinakwenda adi dola 70hivi kwahio 3a na 3 kama mjuzi agiza huko, pia nimeona 3xl na taobao moja inauzwa dola 108 kwa nina mpango wa kuagiza huko.
Note hazitunz chaji, ni pure android hivo udambwi dambwi mwingi hazina ila ni very smooth na ni flagship kwa baadhi
kuanzia 4 kwenda mbele chaji uwakika usiwaze hata yangu 3 ina 3000 Mah fresh tu wala sichaji sanaNimeigoogle pixel6 imenipendeza vipi kuhusu chaji nataka niiagize?
Light use mzee sio heavy duty na note kabisa huwez ipiga masaa ata saba uko net mfululizo hio simuMimi nina 3a inakaa na chaji vizuri sana tu mbona.
masaa saba tena mtandaoni mkuu yangu ina mwezi wa 5 na nilikuw natumia hyo note 8 naona bora hii pixel kwa kweli na sijawai kukaa kweny net hata msaa 5 sijui nifanya nin ila sasa pixel mi mtu wa photo nainjoy sana yaani n nimeipta very cheapLight use mzee sio heavy duty na note kabisa huwez ipiga masaa ata saba uko net mfululizo hio simu
masaa saba tena mtandaoni mkuu yangu ina mwezi wa 5 na nilikuw natumia hyo note 8 naona bora hii pixel kwa kweli na sijawai kukaa kweny net hata msaa 5 sijui nifanya nin ila sasa pixel mi mtu wa photo nainjoy sana yaani n nimeipta very cheap
masaa saba tena mtandaoni mkuu yangu ina mwezi wa 5 na nilikuw natumia hyo note 8 naona bora hii pixel kwa kweli na sijawai kukaa kweny net hata msaa 5 sijui nifanya nin ila sasa pixel mi mtu wa photo nainjoy sana yaani n nimeipta very cheap
sauti ipo clear ebhan wamjitahidi ila najua izi simu zitakuja kuwa za wadada maana wanavyopenda camera. watu wan mpaka s9 plus ina wananiita niwapige picha gallery imejaa picha za wadada ππππNdio mana nikasema kua kama una nunua as main phone yako jipange manake ukitumia staff mingi inakuchosha mie mwenyewe nanunua kwa matumiz madogo tu kama simu yang ya pili, hio sound yake ni dope nzuri sana pia feature zake kawagie ata maji hakaharibiki kiongozi
picha ya simuMkuu, iyo google pixels nimeingia playstore sijafanikisha. Waweza ni2mia picha yake jinsi ilivyo?
Kali sanakuna uzi humu wa Gcamp
Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako
Ndo shida ya mtk hii, sahau kupata gcam hivi karbuni...simu za mtk hazina support nzur ya developers mkuu Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile appNaomba link kwa galaxy a7, 2018www.jamiiforums.com
Mpya ni 5a ni 6a tu chini ya hapo ni used but zote camera zake ni mashinrleHizo simu kuanzia 2mpka four zote ni used akuna mpya sijajua kariakoo zipo ila watakuuzia aje nimeziona ebay zinakwenda adi dola 70hivi kwahio 3a na 3 kama mjuzi agiza huko, pia nimeona 3xl na taobao moja inauzwa dola 108 kwa nina mpango wa kuagiza huko.
Note hazitunz chaji, ni pure android hivo udambwi dambwi mwingi hazina ila ni very smooth na ni flagship kwa baadhi