Mwisho wa siku wee tumia hizo mi ntatumia pixel nishatumia iphone 11 nimeshika na 21 ultra kidogo lakini kwangu bado pixel ni simu nzuri, naitumia vilivyo kutangaza product zangu kwa picha kali, superb video making and editing (kama movie), Battery life makes my life easier, refresh rate, storage etc in short nahisi naitumia sana pixel kuliko iphone, so this makes pixel perfect to me
Duuh ukizoom in hizo picha zina ukungu siwezi kukucheka kwa sababu ni natumia itel smartphone
Natumia ka Samsung changu S10 nimeridhika nako na wala sitaki battle ground [emoji3]
Kumbe na wewe umeona mzee zina ukungu hizo picha
Kumbe umeafiki mkuu pixel kwenye camera ni balaaa[emoji3][emoji3]Kiufupi kama una samsung note 10 plus na note 20 S20 utlra ukipata Gcam full settings shekhe lamda pixel 7/7pro ndowanaweza kukutishia kiufipi uchawi wa pixel upo hapa tu
Kumbe unataka tuzoom haya kwanzia mita ngapi unatakaHizo picha hatukupia ubora wa canera tulipima uwezo wa telephoto kwamkazi wa dar anaweza elewa umbali uliovutwa hapo nikama mita 350 au 500 nimetoa home work chukueni simu zenu fanye mmeshindwa kuna jamaa kaja na infinix zero kaonesha uwezo japo picha ilikuwa imepauka ila kavuta kama mita 400 hivi ila pixel mmeshindwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnabaki kusema ukungu ungungu kwanzia lini umeona picha za kuzoom zinakuwa clear bila kutumia telephoto lens[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo taifa utaona wapiga picha wamechomeka ma lens marefu kama fimbo yale ndo yanaitwa telephoto lens kutoa bila yambali kuwa karibu bila ukungu wowote msipende story za kwenye kahawa ndugu zangu kama una bajet kubwa unapenda kucheza games kwenye simu kupiga picha za kuzoom shoot zakawaida tafuta samsung 21/22 utlra kama huna mambo mengi ila utatafuta simu zuri kali kimbilia iphone 13 pro/14 pro ila kama bajet yako yakawaida kimbili pixel 6 pro / 7 pro ukichukua 7 pro google wanakupa smartwatch kama kifungashio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
No. nilipo simama na hilo jengo lilipo ukifuata barabara ni umbali wa 2.8 km lakini ukinyoosha unapata kama 1.9 kmHizo picha hatukupia ubora wa canera tulipima uwezo wa telephoto kwamkazi wa dar anaweza elewa umbali uliovutwa hapo nikama mita 350 au 500 nimetoa home work chukueni simu zenu fanye mmeshindwa kuna jamaa kaja na infinix zero kaonesha uwezo japo picha ilikuwa imepauka ila kavuta kama mita 400 hivi ila pixel mmeshindwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnabaki kusema ukungu ungungu kwanzia lini umeona picha za kuzoom zinakuwa clear bila kutumia telephoto lens[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo taifa utaona wapiga picha wamechomeka ma lens marefu kama fimbo yale ndo yanaitwa telephoto lens kutoa bila yambali kuwa karibu bila ukungu wowote msipende story za kwenye kahawa ndugu zangu kama una bajet kubwa unapenda kucheza games kwenye simu kupiga picha za kuzoom shoot zakawaida tafuta samsung 21/22 utlra kama huna mambo mengi ila utatafuta simu zuri kali kimbilia iphone 13 pro/14 pro ila kama bajet yako yakawaida kimbili pixel 6 pro / 7 pro ukichukua 7 pro google wanakupa smartwatch kama kifungashio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Elimu shida mkuu.Shekhe kuwa kama professional sasa huwezi kupima ubora wa camera zasimu kwa subject mbili tofauti ila tunaweza kupima ubora wa telephoto bila shida
Elimu ya nani inatatizo yangu au yako? You can tell quality ya picha kwa tazama Resolution, Sharpness, contrast, na clarity haijalishi umepiga na simu gani au subject gani kilaza weweElimu shida mkuu.
Madhara ya elimu za bure.
Mtu anajipigia picha anatuma anataka kufananisha na picha ingine tofauti kabisa.
Na vipixel vinavyopenda sifa usikuGoogle pixel 3A xl during night hio ni portrait sijatumia flash hapo njoo na iphone Yako.View attachment 2398226
Picha imejaa ukungu!Haya mambo mbona hata wakina infinix wanayawezaView attachment 2394900View attachment 2394901
Mkuu unatumia pixel ipi na ulinunua bei gani ?Mwisho wa siku wee tumia hizo mi ntatumia pixel nishatumia iphone 11 nimeshika na 21 ultra kidogo lakini kwangu bado pixel ni simu nzuri, naitumia vilivyo kutangaza product zangu kwa picha kali, superb video making and editing (kama movie), Battery life makes my life easier, refresh rate, storage etc in short nahisi naitumia sana pixel kuliko iphone, so this makes pixel perfect to me
Ebu zoom na wewe tuone alafu utuonyeshe picha isiyo na ukungu ya hilo galaxy A03 lako
Ebu zoom na wewe tuone picha isiyo na ukungu na hilo galaxy A03 lako
Mbona unajibu tofauti na nilichoulizaEbu zoom na wewe tuone alafu utuonyeshe picha isiyo na ukungu ya hilo galaxy A03 lako
Umesema simu yangu ni takataka sasa zoom na wewe utuonyeshe quality ya picha kwenye hiyo simu yako ya low-end ambayo sio takataka