Salaam,
Napenda kufahamu kuhusu Google Maps.
1. Nani anamiliki/simamia/ratibu Google maps?
2. Huwa inaboreshwa?
3. Kama jibu ni ndio; Maboresho yanafanyika kila baada ya muda gani?
Huwa napenda sana kuitumia katika kufahamu maeneo tofautitofauti ila ninakuwa najiuliza lini nitaona maboresho yanayofanyika ardhini (majengo mapya, nk) katika hii ramani?
Nawasilisha