Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Google inakuja na mabadiliko kwenye mfumo wa Contacts Permissions kwenye Android 18, kwa lengo la kuongeza Privacy na kuimarisha Usalama wa taarifa zako.๐ก๏ธ
๐ What's changing?
โ Apps zitakuwa na njia salama zaidi za kuongeza add au ku edit contacts.
โ Kupunguza ruhusa zisizo za lazima (unnecessary permissions).
โ Kulinda namba zako dhidi ya mabadiliko usiyoyatarajia.
๐ฅ Lengo ni kuhakikisha apps zinapata access ya taarifa zinazohitajika tu, badala ya kupewa mamlaka makubwa kuliko mahitaji yake.
Your contacts, your privacy! ๐๐ฏ
Unafikiri Apps zinapaswa kupata access ya contacts zako zote, au ziruhusiwe kufikia namba unayochagua tu? ๐ค