GOOGLE kununua satelaiti 16 kwa Afrika na kwingineko. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

GOOGLE kununua satelaiti 16 kwa Afrika na kwingineko.

Discussion in 'International Forum' started by Iga, Sep 9, 2008.

 1. I

  Iga Senior Member

  #1
  Sep 9, 2008
  Joined: Dec 17, 2007
  Messages: 112
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  BAADA ya Tanzania kusuaasua katika kulaza mkongo wa mawasiliano wa fibre optics sasa neema yaja kama hatujasaini mikataba ya kiajabuajabu hadi sasa.

  Google wanaweka angani satelaiti 16 kwa ajili ya kuzisaidia nchi za Afrika na zinazoendelea kwa ujumla kuwa na mawasiliano ya haraka ya tovuti.

  Chelewa chelewa kweli utamkuta mtoto si wako, lakini wakati mwingine chelewa, chelewa na huenda ukakuta bei nafuu zaidi na kilicho bora zaidi.

  Swali, je, bado ni muhimu kuanza kutumia mabilioni kwa ajili ya optic fibre? Majibu wanayo wakubwa. Walonge basi!
   
 2. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #2
  Sep 9, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Deal la watu mkuu, kuna watu wanategemea kulia hapo! Sasa hii ni bad news kwao!
   
 3. K

  Korosho Senior Member

  #3
  Sep 9, 2008
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 132
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  From a tech point of view, it is wiser to invest in fibre optic project than satellite communication.

  Fibre Optic gives you more bandwidth as compared to satellite. You can thread many different users within same infrastructure (e.g. Tanesco, Railways, and all ISPs can still send their data within the "pipe).
   
 4. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #4
  Sep 9, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  But for the African Market, Satellite will make it compared to Fibre Optic.

  What you wrote is quite true, but our African Governments cannot afford to lay cables to villages! Fibre is the best option, but sorry to tell you that Satellites will make it for Africa...
   
 5. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #5
  Sep 9, 2008
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Invisible na wengine,
  Nilishalisikia hili la Cable miaka ya 90 kwa rafiki yangu akisomea mambo ya telecomunication. Akasifia sana hii project na uwezo wake kama mwandishi Korosho. Ila baadaye rafiki yangu mwingine akisomea IT alikuja na tukawa tukiongelea hili. Yeye akasema kuwa Tanzania tuna bahati kuwa tunaanza na wireless moja kwa moja. Nchi zilizoendelea zina shida sana kwani wameshajenga MIWAYA yao kibao na kuiacha itakuwa shida sana na hasara. Pia hii ya Miwaya ni nzuri kwa nchi kama za Ulaya kwani ni nchi ndogo na hata kama ni kubwa basi idadi ya watu wake ni kubwa sana hivyo Cable network (sijui wanaita hivyo) inakuwa rahisi na cheap. Kwa nchi za Africa na ukubwa wake na jinsi miji ilivyozagaa na kukaa mbalimbali, inakuwa shida sana na aghali sana. Ndiyo maana nchi nyingi za Ulaya zinatumia Matrain ya umeme (TGV, ICE etc) wakati nchi za Africa, USA , Latin America nk wanatumia matrain ya DIESEL (Generator). Nasema Generator kwani hutengeneza umeme na huo umeme ndiyo unaPOWER MOTORS za hayo matrain.
   
 6. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #6
  Sep 9, 2008
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Mkuu kama haya uliyongea umeyasikia kutoka kwa marafiki zako wawili basi nakupa sifa maana umeongea kama Project Manager wa siku nyingi kwenye mambo ya mawasiliano.

  Mkuu Korosho

  Hakuna technology moja inayotibu maumivu yote kwa mtumiaji husika. Satelite ni njia nafuu ya kutibu maumivu ya watumia walio vijijini lakini fiber ni suluhisho sahihi wa mijini.

  Fiber ziko madhubuti kwa ubora, kudumu na ulinzi zaidi ya Satelite lakini ni ghali (kuziweka na kuzikarabati) hivyo ni muhimu kuzitandaza pale ambapo mtaji wake utarudi kwa haraka e.g Dar, Arusha, Mwanza, Znz.

  Ili tusipunguze kasi ya data kwenye mtandao tunaweza kujiunga kwa Fiber Optic na nchi zingine lakini tukiingia Tanzania ukiondoa mikoa niliyotaja hapo juu; mikoa mingine itumie Satelite mpaka pale mahitaji yao yatakapokidhi gharama ya Fiber au teknoloji bora zaidi itakapogunduliwa.
   
 7. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #7
  Sep 9, 2008
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Yebo Yebo,
  Naona wewe umelielezea vizuri sana hili swala. Wanasema kwamba Ukweli siku zote uko katikati. Ukisoma maelezo niliyoambatanisha chini yanakubaliana kabisa na yako kuwa kwa mikoa ya pwani na labda hadi Arusha tunaweza kutumia Fibre.
  -----------------------------------------------------------------

  Kate Holton and Niclas Mika
  09 September 2008 16:18

  LONDON/AMSTERDAM -

  (Reuters) - Internet firm Google and Europe's biggest bank HSBC have thrown their weight behind a plan to provide cheap, high-speed web access via satellite to millions in Africa and other emerging markets.

  Google has joined forces with the bank and cable operator Liberty Global to back a group called O3b Networks, which stands for the "other 3 billion" people who do not have access.

  It will provide high-speed backhaul for telecoms operators and Internet providers, which can then sell services to businesses and consumers.

  South African Finance Minister Trevor Manuel welcomed the project when speaking at a conference in Germany.

  "The information gap is very real and clearly whatever we can do to close it must be encouraged," Manuel told a news conference in Berlin on the U.N.-backed Millennium development goals.

  "Any initiative that can leapfrog over traditional means of getting information to people must be encouraged. Information is power and it supports democracy and it supports decision-making."

  O3b networks said in a statement the satellites would be constructed by Thales Alenia Space and should be operational by the end of 2010.

  The company's founder, Greg Wyler, told Reuters coverage would reach from Spain to South Africa, include most of South America, large parts of Asia and all South Pacific Islands.

  The project intends to offer fibre performance over satellite to parts of the world where it is not commercially viable or practical to deploy a fibre network.Because its satellites orbit earth at lower altitudes than those used to beam TV signals to homes, they work better for Internet access where latency -- the amount of time it takes for bits of information to travel from source to destination -- is an issue, Wyler said.

  The project is expected to cost $650 million until the launch, he said. Initial equity of $65 million has been raised, but the final mix of debt and equity has not been set.

  In some parts of the world, the company will compete with fibre-optic cables currently under construction -- for instance, over a dozen cables have been announced connecting Africa to Europe, the Middle East and Asia.

  "There's some fibre in place on the coast of Africa, there are pieces of fibre around, and this is meant to compliment those pieces," Wyler said.

  "We have the ability to offer pricing that is lower than what is being offered today. We have the ability to bring that to everywhere."

  The group is also hoping that Internet access will prove as popular as mobile phone services have in recent years.

  "The global bet is: will the GDP and the growth and demand in all of the emerging markets grow?," he said. "If the answer is yes, maybe not in some countries but certainly in others, then it's a good bet."

  Richard Hurst, a telecoms analyst at global advisory firm IDC, said that, on paper, the project should be a good initiative.

  But he warned that the potentially limited capacity for satellite spectrum in Africa means there would still be a need for some fibre optic cables to help boost capacity.
   
Loading...