mkuu, unajua ziwa kweli na sifa zake hadi liwe ziwa? Kama lilikuwepo, basi alokuhadithia lazma atakwambia maeneo lililopo hilo ziwa. Haya tujuze hilo ziwa lilikuwa pande zipi?Hilo ziwa lipo sana tu.
Na inasemekana ndio asili ya jina "Mwananyamala" kizaramo yaani mtoto nyamaza kulia.
Inadaiwa miaka hiyo ilikuwa ikisikika sauti ya mtoto ikilia kutoka humo ziwani. Ndio wenyeji wakasema "Mwananyamala".
Wakati mwingine muwe mnauliza badala ya kuponda.