Google imeanza kuonyesha promotional ads/offers kwenye baadhi ya simu za Google pixel kupitia app ya My Pixel. ๐ณ.
Badala ya app hiyo kutumika kwa tips na taarifa za Pixel pekee, sasa inaweza pia kukuonyesha bidhaa mpya, offers na matangazo ya vifaa vya Google.
๐ Lakini kuna jambo muhimu:
Hii haimaanishi kwamba Pixel imeanza kuweka matangazo kila sehemu kwenye Home Screen au ndani ya Android. Kinacholalamikiwa zaidi ni notifications za promosheni kutoka My Pixel.
Lakini usiwe na wasiwasi โ unaweza kuzizima notifications za promosheni kupitia:โ๏ธ Settings โ Apps โ My Pixel โ Notifications โ New products & offers โ OFF ๐.
Sema Pixel ilikuwa inajulikana kwa Android safi bila usumbufu mwingi โ je, Google ndo imeanza kuleta Matangazo?