Google driver

Mamserenger

JF-Expert Member
Oct 14, 2019
1,157
2,078
Wakuu mashindwa kuzilinda Documents zangu katika Google drive.
Kwa maana Account nlio tumia kuifadhia hizo data
Mtu yeyote anaweza kuingia kupitia hii simu yangu na hata kudow load.

Nivyo naomba kuelekezwa vile mtu akitaka kuingia asione email yangu moja Kwa moja na kuweza Ku log in.

Msaada tafadhali
 
Ikibidi niweze kuitoa Ile account palee
Fungua email mbadala itakayotumika kwenye core iliyobeba app za Google ili hiyo nyingine uwe unaiAccess kwa kutumia browser au set password ya kulock app zinazotumia hiyo email bila kusahau kulock pia settings upande wa simu.


Sent from my cupboard using mug
 
Back
Top Bottom