Google Chrome inakula RAM kuliko maelezo

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,102
53,357
Nafikiria kuihama hii browser kama nilivyoihama Mozilla Forefox.

Ipo heavy vibaya sana. Haitaki PC zilizo na uwezo mdogo. Inakula RAM kuliko maelezo. Inakula almost 20% of RAM.

Ukiifungua na programs nzito tegemea kucrash kila mara. Nimekuwa naijaribu nimepata hayo matokeo.

Mozilla firefox ilikuwa hivihivi. Nikaikimbia.

Nafikiria kuihama hii browser.

Nipe ushauri browser ipi inakaribiana uzuri na Chrome au Mozilla.

Chief-Mkwawa
lusungo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sahihii...hata kwenye Simu ni hivi hivi
Na kuna mtu nilikua najadiliana nae hii asubuhi japo ilikua upande wa power, nikamtumia screenshot.

Inatumia power na RAM sana, Nilihamia opera ila nimerud maana kuna options nyingne ukiwa kwenye mtandao kufungua wana ku redirect through chrome au Mozira Firefox
 
Sio Chrome per say. Ukitaka kuamini nenda kwenye Chrome://flags alafu Disable Site isolation

Alafu kama unatumia Computer nenda kwenye Task manager and kill Chrome process.
Alafu open tab moja, go to www.spacejam.com. ili upunguze RAM usage kwenye website ambazo zinatumia zaidi ya MB 100
 
Google Chrome sihami japokuwa inatafuna RAM balaa. Kama una RAM ndogo tumia tu hizi lite versions kama Opera japokuwa kuna web experience utakuwa unazikosa maana vina-load site kipumbavu sana.

Kwenye PC nnayo UC Browser latest version ila nikiingia YouTube wananiletea version ya zamani sana, huwa si-enjoy sana kuitumia kama Chrome.
 

Mkuu @nilikuwa na mazungumzo private kidogo na wewe
Naomba ufungue pm mara moja.
 
Tumia Brave hutojutia
 
Kwa pc jaribu kutumia edge mpya,

https://support.microsoft.com/en-us/help/4501095/download-the-new-microsoft-edge-based-on-chromium

Na mkuu siku hizi mambo ya bitcoin na mining kuna uwezekano mkubwa wa kuwachimbia watu cryptocurrency bila wewe kujua, ukiona tu browser inakula resource nyingi bila kutumia chochote ujue una mgodi.
 
Sasa matumizi ya 100MB memory mbona ndogo sana.. kwani kifaa chako kina ram ngapi mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiifungua na programs nzito tegemea kucrash kila mara. Nimekuwa naijaribu nimepata hayo matokeo.

Mozilla firefox ilikuwa hivihivi. Nikaikimbia.
Hakika edge kwa windows 10 iko vyema, nyepesi na haitumii RAM sana kama ilivyo kwa google chrome, japo zote source code zinatokana na chromium


Na uzuri mwingine kwa waweza weka any extension ambayo ulizoea kutumia katika google chrome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…