The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,442
- 10,233
Kwa tz sijui. C bora utafute mtu akusaidie kuagiza njeNazitafuta sana hizi simu za Google pixel, nataka nianze na google pixel 2 au 2xl najua bei yake haitokua juu sana kwa sasa. Wapi zinapatikana Tanzania hii??? Zanzibar nimezikosa hizi simu