Google Adsense

Google Adsense

Ngalewa

Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
97
Reaction score
11
Naombeni msaada nina blog yangu nimefungua kama wiki mbili zimepita sasa nikajiunga na google adsense sasa katika blog yangu kuna article nimepost kwa lugha ya kiswahili sasa hawa jama wamenigomea wanasema lugha hii haipo katika list zao. Msaada kwa anayefaham
 
Sasa mbona kuna blog nyingi hapa Tanzania wanatumia kiswahili na wanakula mshiko wa hawa jamaa.
 
Sasa mbona kuna blog nyingi hapa Tanzania wanatumia kiswahili na wanakula mshiko wa hawa jamaa.

mkuu kuna matangazo na kuna adsense maybe ni matangazo ya kampuni nyengine na si google. unaweza toa link ili tuhakikishe?
 
[h=1]Languages AdSense supports[/h]Google AdSense supports publishers in several different languages. Applications for participation in the program can be for sites with content primarily in:
ArabicGermanPortuguese
BulgarianGreekRomanian
Chinese (simplified)HebrewRussian
Chinese (traditional)HungarianSerbian
CroatianIndonesianSlovak
CzechItalianSlovenian *
DanishJapaneseSpanish
DutchKoreanSwedish
EnglishLatvianThai
Estonian *LithuanianTurkish
FinnishPolishUkrainian
FrenchNorwegianVietnamese





SOURCE: https://support.google.com/adsense/answer/9727?hl=en
 
Jombaa @Ngalewa unaweza kuweka ads kwenye site za kiswahili lakini ni baada ya kuwa approved, ingawa kiswahili bado hakipo kwenye lugha zao, cha muimu ni lazima site unayoanzia nayo - primary dmain iwe ka kiingereza, mafano mimi nilijiunga na http://alltechdiary.com lakini ndio wakanikubali, ukiangalia hapa Tupokigwe kuna aticles za kiswahili lakini hawajanifungia. Do it at your own risk, jamaa wapo very strictly ukivunja sheria yao moja tu wanaweza kukufungia kaisaaa!
 
Back
Top Bottom