Google Adsense

kuna funguo maalum za kufungulia..... nunua hizo keys
Kuweni serious

Ipo hivi adsense kwa unataka hosted au non hosted

Je una blog?

Post zako ni za lugha ya kiingereza?

Blog yako inaumri gani?

Ikiwezekana weka link watu wakupe msada

Mkuu
Andika neno "JINSI YA KUFUNGUA akaunt ya adsense"

Katika JF utapata pa kuanzia.
 
Kuweni serious

Ipo hivi adsense kwa unataka hosted au non hosted

Je una blog?

Post zako ni za lugha ya kiingereza?

Blog yako inaumri gani?

Ikiwezekana weka link watu wakupe msada
Mkuu


BANNED
 
Kuweni serious

Ipo hivi adsense kwa unataka hosted au non hosted

Je una blog?

Post zako ni za lugha ya kiingereza?

Blog yako inaumri gani?

Ikiwezekana weka link watu wakupe msada

Mkuu
sawa jibabu.. wamekusoma
 
Kama asilimia kubwa ya viewers ni TZ ndio inakuwa hivyo jitahidi kupata viewers kutoka nchi,za dunia ya kwanza
 
MBNA hapa jamii forum tnatumia kiswahili lakini matangazo ya adsence yanadisplay
 
MBNA hapa jamii forum tnatumia kiswahili lakini matangazo ya adsence yanadisplay
Pamoja na yote lazima uwe na visitors wa kutosha,vile vile haujui humu jamiiforums kuna post kibao za kiingereza?
 
jaman mimi n mtumiaji wa adsense; kwenye blog yang napata views zaidi ya 4000 kwa siku, lkn nashangaa mapato nimadogo sana kwasiku chini ya $ 1.5 mwenye uzoefu wa adsense naomba anisaidie
Mimi pia nimtumiaji wa adsense, ila mapato ni madogo,,,
nimesoma sehemu nikapata uzi mmoja unaelezea juu ya mapato ya google adsense
mapato ya adsense yanategemeana na aina ya blog ! Mfano,, blogo inayo husu chakula inaweza kuwa na mapato madogo sana kulinganisha na blog ya technologia,,inaweza kuwa na viewer sawa ila mapato ni tofauti. Pia kingine ni regions ,, ukanda wetu bids zinakuwa ndogo tofauti na usa, canada europe n.k
ukitaka kujua angalia kwenye Adsense CPC
mfano blog kama ya kwangu hii hapa >>CILUASHAZ

hua ina mapato madogo sana ,mfano nilikuwa na page view 1700 na clicks 11 lakini nimepata $ 0.48 jana
kupata mapato mengi lazima blog yako iwe na organic search traffics,,,
MIMI nilipata adsense ndani ya miezi miwili na nusu kwenye blog yangu ambayo nimepost issue za notes za masomo na baadhi ya vitu vya kuhusu elimu....unaweza pitia hapa,,,,>>CILUASHAZ
 
mkuu naskia propela wanakulipa vile wanavyojisikia yaan hawana constant CPC n kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…