Unaweza kuweka screen shot ya Direct link ad ya propeller inayoonekana kwenye blog/ site ?usichanganye,,, adsense ni very sensitive itapelekea kufungiwa.. adsense hawataki pop ads, au kama unaweka propelaller weka matangazo ya direct links tuu, pia ukichanganya adsense na pop ads ni vigumu kupata chochote kwenye adsense ..
****Fanya adsense katika clean environment**** dont mix***
Sisi tunakomaa na propeller na revenue hits tuu..
View attachment 473911
hiyo ni picha/video unakua umeweka tangazo kwa ndani..visitor aki-click picha tangazo linafungukaUnaweza kuweka screen shot ya Direct link ad ya propeller inayoonekana kwenye blog/ site ?
imetoa pesa mara ngapi.??HOSTED GOOGLE ADSENSE ACCOUNT-blogspot +youtube
INA DOLA 62+
PIN- VERIFIED
Ni-pm tuongee bei
badoimetoa pesa mara ngapi.??
pa1bado
Unahitaji kutengenezewa au ya mtuNatafuta cheap blog 25,000/= ya habari, kilimo , au afya Lakini the most kilimo
Vyovyote sawa tu mkuu sema ive ya kiwango kidgoUnahitaji kutengenezewa au ya mtu
--mkuu tunaomba utuwasilishie chek uliyoipata kwenye propeller ya kutoa mkwanja
Kwa hapa Tanzania Blog haina faida kama hutakuwa na Adsense au Propelar ads Ni kama utakuwa unafanya kazi bure.Naomba kueleweshwa kuhusu kuwa na blog yenye manufaa kibiashara, maelezo kuhusu adsense na jinsi ilivyoimara au dhaifu ktk kutengeneza faida. Je siku hizi adsense wanakikubali kiswahili?
blogger wa kweli hategemei adsense kuendesha blog yake,kama hauna values za kutoa kwa watu lazima uone blogging pasua kichwaKwa hapa Tanzania Blog haina faida kama hutakuwa na Adsense au Propelar ads Ni kama utakuwa unafanya kazi bure.
Adsense inalipa na zaidi ukiwa unajua kutafuta traffik na kuandika makala nzuri ambazo zitakuwa zinavutia wasomaji.
Tatizo kubwa linalofanya tue tunaona adsense ni pasua kichwa wabongo huwa tunapenda njia za mkato za kutaka kupata mafanikio ya haraka. Google wako makini sana kwa watu wanaovunja mashart na kutumia trick ili kujipatia hela ki wiziwizi kama ukifuata masharti vizuri ya Google adsense nina uhakika utafurahi.
Domain ya kulipia ndio nzuri,hosting ina tegemeana unataka kuhost(domain + hosting tsh.75000 excluding design fee)adsense wanapenda traffic kutoa usa,canada,europe traffick kwa nchi zetu/africa hazina conversition rate kubwaMkuu [HASHTAG]#sele255[/HASHTAG] vipi kuhusu domain ya kulipia na free domain ipi inalipa zaidi/iko imara zaidi kibiashara? Hosting je ikoje? Kuna kitu wanaita first a tier countries kwenye adsense payments? Vipi waweza pata wateja wengi kutoka nchi hizo.