Nakushauri ununue kasave time. Gharama inacost elfu 50 mpaka laki.
Now days google wamekuwa verystrict.
Ila kama unataka stil fanya hivi uwe na blog yenye umri zaidi ya miez 6. Kisha iwekee domain mfano juma.com kisha tengeneza post za kingereza 200 zenye picha na maneno yasiyopungua 300... usiwe umecopy habari .... kisha share blog yako ipate viewrs angalau elfu 5.
Hapo lazima wakupe acc