bei itazidi itakavozidi ila haitafika 30,000 ila standar ni 15,000 hadi 20,000 kwa .com kwa mwaka.
Mkuu zipo njia nyingi advanced za kufanya hivyo unavotaka na viapply automatic lakini sjafahamu uwezo wako wa kucode au hata kuedit template kama unaweza.
Kwa kuanzia tafuta kitu hichi kwenye panel yako unayotumia kuandikia post
then andika maneno unayotaka yakae summary juu halafu press hiko ki icon then endelea kuandika post. Itatokea ndogo na maneno mengine yataendelea mtu akifungua full post